ONLINE MARKETPLACE FOR ALL GOODS & SERVICES—VIA WHATSAPP.
Ukiwa hapa utatangaza biashara/ bidhaa zako zote.
UTARATIBU WA KIKUNDI HIKI CHA WHATSAPP.
1. Soko hufunguliwa kuanzia saa 12 asubuhi (06:00 a.m) hadi saa 3 usiku (09:30 p.m); Jumatatu hadi Jumapili. Nje na muda huo, mfumo utaruhusu ma-Admins pekee.
2. Ukihitaji bidhaa fulani, unamfuata mwenye tangazo inbox kwake.
3. Usitume picha, video wala link za mambo yanayoweza kuleta madhara/ matokeo mabaya kwa wengine; k.m vile pornography n.k..
USIPOZINGATIA HAYA, UTAONDOLEWA!
Sasa unaweza ku-join group hili kwa kugusa kwa kufungua (CLICK) HAPA au tumia link hii hapa chini.
______________
UBAO WA MATANGAZO MENGINE: Gusa (CLICK) picha husika.
1. Maeneo yetu mengine unayoweza kutembelea—mtandaoni.
2. Vikundi Vingine Vya Whatsapp; gusa picha husika ili ku-join kikundi husika.
UKIHITAJI KUULIZA LOLOTE KUHUSU JAMBO LOLOTE MIONGONI MWA HAYA, UNAWEZA KUJA INBOX MOJA KWA MOJA KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
Comments
Post a Comment