Miongoni mwa haya (5) yaliyotajwa hapa; ni lipi ungependa kulifuatilia zaidi?
1. Namna nyingine (mpya) ya kuongeza wateja kupitia WhatsApp.
2. Unavyoweza kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kwa wateja waliopo WhatsApp.
3. Unavyoweza kujiajiri kupitia WhatsApp.
4. Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni—vitabu vidogo vidogo, dokumenti fupi fupi za PDF.
5. Huduma ya kukutengenezea graphics mbalimbali—kulingana na hitaji lako: poster, business card, logo/nembo, lebo, vipeperushi, n.k—popote ulipo. Kazi zote unazipokea kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail).
_______________
HAPA CHINI NI [LINKS] VIUNGANISHI VYA KUKUPELEKA MAENEO HUSIKA.
• Gusa (CLICK) tangazo husika.
-------------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
-------------------------
Comments
Post a Comment