Skip to main content

★ UNAPENDA KUZUNGUMZIA MAMBO GANI, UKIFUATWA INBOX KWAKO?


UNAHITAJI NINI UKIWA NASI MTANDAONI? 
YALIYOPO HAPA, KWENYE POSTI HII NI:

1. Huduma za kukutengenezea graphic yako kulingana na hitaji lako.
2. VITABU: Funguo za vyumba vyenye pesa WhatsApp.
3. Ofa ya vitabu vitano (softcopy) kwa TSH 5,000.
4. Ofa maalum kwa waliotupokea vizuri —inbox kwao.
5. Viunganishi Husianishi (Related Links).
-------------------------------
• Tumetumia picha na maelezo kwa ufupi, chini ya picha husika. Karibu sana.
-------------------------------
1. HUDUMA ZA KUKUTENGENEZEA GRAPHIC YAKO KULINGANA NA HITAJI LAKO.


• Kazi zote ni katika fomati za kielektroniki (softcopy). Utazipata kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail).
__________________
2. VITABU: FUNGUO ZA VYUMBA VYENYE PESA WHATSAPP.


Vitabu hivi vinapatikana kwa urahisi zaidi kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail). Unapolipia kitabu husika, kinatumwa inbox kwako.

• Unaweza kulipia na kuvipata leo. Pia unaweza kuangalia ufafanuzi na utangulizi wa kila kitabu HAPA [VISIT].

• Mawasiliano: 0743 517 138
__________________
3. OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 5,000.


Vitabu hivi (5) pia, vinapatikana kwa urahisi zaidi kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail). Unapolipia kitabu husika, kinatumwa inbox kwako.

• Unaweza kulipia na kuvipata leo. Pia unaweza kuangalia ufafanuzi na utangulizi wa kila kitabu HAPA [VISIT].

• Mawasiliano: 0743 517 138
__________________
4. OFA MAALUM KWA WALIOTUPOKEA VIZURI —INBOX KWAO.


Ofa hii hutolewa kwa wale wanaotupokea kwa ukarimu, tunapotumia dakika chache kuwafuata inbox kwao.

• Unapotupokea kwa mtazamo chanya, tunapenda uchague kitabu kimoja kati ya hivi viwili; na utalipia kwa ya punguzo sana, yaani kwa TSH 1,000 tu na kupata kitabu inbox kwako. SPECIAL OFFER!
__________________
5. VIUNGANISHI HUSIANISHI (RELATED LINKS).
Gusa (CLICK) eneo husika.






__________________
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
------------------------------







































































Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...