Unachotakiwa kufanya ni kuchagua picha unazotaka ziwepo, na kuzituma inbox WhatsApp au kwa e-mail.
Kalenda yako itakamilika leo, na kutumwa inbox kwako—katika fomati ya picha yake origino; ili uweze kuiprint huko uliko, popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery au studio ya picha/digital printing).
Bei yetu kwa hiyo softcopy ni Tsh 2,500/-
Mawasiliano:
0763 258 095.
Comments
Post a Comment