____________
Tulipogundua njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, jambo lililoonekana kusababisha matokeo mazuri sana, ni utumiaji wa lebo maalum kusevu namba hizo.
Kwa mfano, Inawezekana kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku. Pia ndani ya kitabu cha maarifa haya, utafundishwa jinsi ya kufanya hivyo mwenyewe. Kuna namna jambo hili linakwenda kukusaidia kufikia watu wengi waliopo WhatsApp, kwa utulivu.
Tunaposema lebo maalum, tunamaanisha nini? Na kwa nini utumiaji wa lebo maalum umesababisha upatikanaji wa matokeo mazuri sana?
Lebo maalum zinakuwa hivi; tuchukulie mfano huu: unataka kusevu namba 200, kwenye kikundi cha whatsapp kinachoitwa BIASHARA YA SIMU NA KOMPYUTA. Watu wote (200) wa kikundi hicho, kwa mfumo wetu, watakuwa saved kwa jina la kifupisho cha kikundi hicho yaani BISIKO au BSK. Baada ya kusevu; namba ya mtu wa kwanza itaonekena kama BISIKO 1, wa pili kama BISIKO 2, wa tatu kama BISIKO 3...zitaenda hivi hadi wa mwisho (wa 200) kama BISIKO 200.
Tunafanya hivyo kwa vikundi mbalimbali tunavyoamua kukusanya na kuhifadhi (save) namba za washirika wake wote—ndani ya muda mfupi sana. Hakuna kikomo. WhatsApp ina mamilioni ya watu. Ni wewe tu kuamua unataka ufikishe watu wangapi, ndani ya muda gani.
1. Kuwafikia watu wapya wengi, kwa urahisi na namna nzuri ya kujitambulisha kwao—ndani ya muda mfupi.
2. Kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi—kwa njia mpya rahisi ya EO Gadgets 77 iliyopo hivi sasa; inayohusisha ubunifu na utumiaji wa lebo maalum.
3. Kupata na kuongeza watu wengi wanaosevu namba yako, ndani ya muda mfupi. Kwa namna hiyo, utaongeza watazamaji wa status zako—ndani ya muda mfupi.
4. Urahisi wa kuweka mkakati unaopimika, katika kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
6. Mara nyingine utasaidiwa kukusanya na kusevu namba nyingi za WhatsApp—ndani ya muda mfupi.
Fomati: PDF , Audio zilizorekodiwa na maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp.
Bei ya sasa: Tsh 4,500 (KITABU [PDF] TU)
TSH 9,000 (KITABU & AUDIO ZOTE)
TSH 12,000 (Kitabu, audio na kuwepo kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sale Via WhatsApp); darasa la maelekezo ya moja kwa moja)
Upatikanaji: WhatsApp/e-mail.
Idadi ya kurasa kwenye kitabu (PDF): 31
Mawasiliano: 0743517138—WhatsApp au
0763 258 095 (mawasiliano ya kawaida na malipo).
_____________________
________________
Comments
Post a Comment