UTANGULIZI NA MAELEKEZO YA KUPATA MAARIFA NA MAONI HAYA.
Rafiki, katika nyakati hizi watu wengi tunamiliki simujanja (Smartphone) na tunatumia sana WhatsApp. Tunaweza kuunganisha matumizi mazuri ya Smartphone na Whatsapp, katika kuongeza ufanisi wa biashara au sehemu ya kipato kupitia intaneti—hasa hasa kwa urahisi zaidi kupitia WhatsApp.
Hapo chini, kuna orodha ya vitabu vinne; pia kuna picha zimeambatanishwa, picha za kurasa za yale yaliyomo ndani ya kitabu husika. Vitabu vilivyopo, vina maarifa rahisi kwenye kurasa chache kuhusu:
1. Upatikanaji Mpya Wa Wateja Kupitia WhatsApp.
2. Kipato Kwa Smartphone Na Whatsapp.
3. Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni.
4. Maarifa Ya Uzoefu Au Taaluma Yako Ni Kipato Mtandaoni.
Vitabu hivi vyote, vipo katika fomati ya PDF (softcopy). Vinapatikana kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail) yako. Unapolipia, kitabu husika kinatumwa inbox kwako.
Unaponunua kitabu chochote, utachagua pia ikiwa ungependa kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp, kwa ajili ya kuwasilisha jambo lolote unalohitaji kufahamu zaidi kutoka kwenye kitabu chochote ulichonunua.
Picha iliyopo mwishoni, ni tangazo letu la huduma za kukutengenezea graphics mbalimbali—kulingana na hitaji lako.
Karibu sana rafiki.
__________________
SEHEMU KWANZA.
Smartphone Na WhatsApp Katika Kuanzisha Na Kuendesha Biashara.
----------------------------------------
Vitabu hivi unavipata kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail). Unapolipia kitabu husika, kinatumwa inbox kwako. Hapa chini kuna picha mbili:
(1) Inayoonyesha ukurasa wa yale yaliyomo kwenye kitabu namba moja (Upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp).
(2) Inaonyesha ukurasa wa orodha ya yale yaliyomo kwenye kitabu namba mbili (Kipato kwa smartphone na Whatsapp).
_____________
• Upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.
• Kipato kwa smartphone na Whatsapp.
Tel: 0743 517 138.
Whatsapp Inbox >>> FUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
SEHEMU YA PILI.
MAARIFA YA UZOEFU NA TAALUMA YAKO NI KIPATO MTANDAONI.
----------------------------------------
Vitabu hivi unavipata kupitia WhatsApp na baruapepe (e-mail). Unapolipia kitabu husika, kinatumwa inbox kwako. Hapa chini kuna picha mbili:
(1) Inayoonyesha ukurasa wa yale yaliyomo kwenye kitabu namba moja (Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni).
(2) Inaonyesha ukurasa wa orodha ya yale yaliyomo kwenye kitabu namba mbili (Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako Mtandaoni).
_____________
• Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni.
• Maarifa na uzoefu wako ni kipato chako Mtandaoni.
______________________
PICHA YA TANGAZO LA HUDUMA:
------------------------------------
★★★★★★
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
-------------------
Comments
Post a Comment