Tunayo shauku kubwa ya kufahamiana na watu wengi waliopo WhatsApp, wenye mtazamo chanya katika kujenga mahusiano yenye tija kiuchumi na kibiashara.
Tumekuwa na utaratibu mzuri wa kutumia sehemu ya muda wetu, kuwafuata watu wengine inbox kwao.
Tunapofika inbox kwa mtu; tunahitaji kujua mtazamo wa mtu, kwa kumwomba nafasi ya dakika chache za kujitambulisha ili kuona uelekeo wa kutaka kujua ikiwa yupo tayari kunufaika kwa kushirikiana nasi kwenye mambo makuu mawili:
1. Huduma za ubunifu wa graphics mbambali kulingana na hitaji la mtu—kwa wakati. Ili kuhudumiana kwanzia wakati huo, na siku zinazoendelea baada ya kutambua uwepo wa.
2. Ukaribisho wa programu za maarifa rahisi yenye tija kiuchumi na kibiashara mtandaoni—hasa hasa kwa kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp.
Hapa chini kuna viunganishi vya kukupeleka maeneo maalumu; gusa kwa kufungua (CLICK) picha husika.
------------------------
+255 743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
---------------------------
___________
Comments
Post a Comment