Skip to main content

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 5,000 (softcopy).

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,500/-[PDF]. Ukichukua vyote vitano kwa pamoja utalipia Tsh 5,000 tu.


YALIYOMO: (4).
1. ORODHA YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOPO KWENYE OFA.
2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU.
3. MATANGAZO YETU MENGINE.

Vitabu vyote vipo katika fomati ya PDF. Mara tu baada ya kufanya malipo (Tsh 1,500 @kitabu) au TSH 5,000 kwa vyote vitano. Utavipokea inbox kwako (WhatsApp) au ukipenda pia tunakituma kwa baruapepe (e-mail).

____________ 

1. ORODHA YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOPO KWENYE OFA.
1. Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kwa WhatsApp.
2. Upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp.
3. Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni.
4. Maarifa na uzoefu wako ni kipato Mtandaoni.
5. Advanced Stationery Skills_Online Typing (sehemu ya kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine mtandaoni).

————————— 

2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU.

№1: KUTENGENEZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE NA KUZIUZA KWA WHATSAPP.
Mara nyingi watu wanapenda kila wanapoanza kitu, wafikie kwenye hatua ya juu ndani ya muda mfupi. Pia uhalisia wa wazo hilo huvunja mioyo ya watu wengi, linapoangaliwa kwa kina.

Lakini unaweza kupata maarifa yatakayokupa uwezo wa kuanza kubuni (design), kutengeneza na kuuza graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu na logo rahisi—kwa smartphone kupitia WhatsApp. Hapa utapata kitabu; kinachokupa maarifa rahisi ya namna nzuri ya kuanza kuitumia smartphone yako kutengeneza graphics na kuwahudumia wahitaji/wateja wake waliopo WhatsApp.

Utapata pia mwongozo wa App nzuri rahisi kuitumia kwenye smartphone kufanikisha hilo. Ndani ya kitabu, maelekezo yameambatanishwa na picha (screenshot) za hatua zote muhimu.

Wateja wako wanapatikana WhatsApp, wao hutuma maelekezo na picha zao kwa WhatsApp au e-mail. Pia watazipata kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy) kama: PDF & picha—kwa e-mail au WhatsApp. Wao watakulipa kwa mobile money kama M-pesa, halopesa, Tigo pesa, T-Pesa n.k (ikiwa wapo Tanzania) na utatakiwa kutumia link ya kupokelea malipo kwa intaneti (ikiwa wapo nchi nyingine za nje).
Mawasiliano: 0763 258 095.
____________
№2: UPATIKANAJI WA WATEJA  WA UHAKIKA KUPITIA WHATSAPP: utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa.
Tulipogundua njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, jambo lililoonekana kusababisha matokeo mazuri sana, ni utumiaji wa lebo maalum kusevu namba hizo.

Kwa mfano, tunaweza kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku kwa ajili yako. Pia katika kitabu hiki utafundishwa jinsi ya kufanya hivyo mwenyewe. Kuna namna jambo hili linakwenda kukusaidia kufikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi.

Tunaposema lebo maalum, tunamaanisha nini? Na kwa nini utumiaji wa lebo maalum umesababisha upatikanaji wa matokeo mazuri sana? 
Lebo maalum zinakuwa hivi; tuchukulie mfano huu: unataka kusevu namba 200, kwenye kikundi cha whatsapp kinachoitwa BIASHARA YA SIMU NA KOMPYUTA. Watu wote (200) wa kikundi hicho, kwa mfumo wetu, watakuwa saved kwa jina la kifupisho cha kikundi hicho yaani BISIKO au BSK. Baada ya kusevu; namba ya mtu wa kwanza itaonekena kama BISIKO 1, wa pili kama BISIKO 2, wa tatu kama BISIKO 3...zitakwenda hivi hadi wa mwisho (wa 200) kama BISIKO 200.

Kwenye kitabu kuna maelekezo jinsi ambavyo lebo hizi zinaleta matokeo mazuri kwenye maeneo makuu manne:
1. Kurahisisha zoezi la ku-foward tangazo au ujumbe wako kwenda kwa watu wengi wenye lebo moja, ndani ya dakika chache—(uliojitambulisha kwao).
2. Kutumia mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa urahisi.
3. Urahisi wa kuongeza watazamaji wa status zako—ndani ya muda mfupi.
4. Urahisi wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.

 Mawasiliano: 0763 258 095.

——————— 

№3: UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI: Tengeneza na kuuza vitabu na dokumenti nyingine rahisi—kwa Smartphone—mtandaoni.
Ukiwa na shauku ya kuandika na kuuza maandishi yako mtandaoni, siyo lazima usubiri hadi ujikamilishe kwenye vitu vingi. Mwingine wanasubiri mpaka apate kompyuta mpakato (laptop) au nyingine kubwa, ajifunze muda mrefu kuhusu Microsoft Word Office na mengine mengi. Lakini siyo lazima mpaka ufanye hivyo ndipo uanze kuuza maandishi yako mtandaoni. Uwezo mwingine hutokea na kuongeza ukiwa njiani kufanya kitu. Kiasi kwamba, kama haujaingia kufanya jambo moja kwa moja, hauwezi kupata mafunuo au uwezo huo.  

Mimi nilipoanza, nilitumia simujanja (smartphone) yangu tu, kwa ku-install Apps tatu (3) ambazo nilijifunza namna nzuri ya kuzitumia mwenyewe, na kuanza kupata dokumenti nzuri sana—ndani ya muda mfupi.
Apps hizo ni:
• Microsoft Word Office ( for Android)
• WPS
• Diary.
Nilitengeneza dokumenti nzurí fupi fupi, ambazo nilizitangaza kupitia WhatsApp kwa kuweka makava ya vitabu kwenye blogu rahisi ya bure—(unayoweza kuifungua mwenyewe ndani ya dakika chache) kwenye jukwaa la blogspot. Link ya posti husika niliituma kwa watu na vikundi vya WhatsApp. Nilianza kupata wateja, na niliuza kwa bei ndogo za rejareja sana.
Wateja wangu niliwaambia wanilipe kwa M-pesa, kisha mimi kuwatumia PDF hizo inbox kwa WhatsApp au e-mail.

Kitabu hiki kitakupa mwongozo mzuri wa kuanzia popote ulipo. Ukiwa na smartphone tu, kifurushi cha intaneti na muda wako fulani maalum wa kuwepo mtandaoni; hakuna litakaloshindikana hata kidogo.
Mawasiliano: 0763 258 095.
—————————
№4: MAARIFA NA UZOEFU WAKO NI KIPATO —MTANDAONI: tengeneza na kuuza kwenye PDF, audio & video.
Najua una uzoefu fulani kwenye kazi yako. Maarifa hayo kuna watu wengine wanatamani wayapate mpaka sasa. Vilevile pengine wewe ni miongoni mwa watu wenye taaluma maalum; yaani pengine umesomea ualimu wa masomo fulani kwenye kiwango chochote cha elimu, au taaluma nyingine yoyote. Mtandaoni (hasa kwenye WhatsApp) kuna watu wengi sana. Miongoni mwao kuna wateja wako, wengi na wa uhakika; kwa jambo lolote unaloweza kuamua kufundisha hata kwanzia leo.

Kuna namna ya kutumia sehemu fulani ya muda wako kutengeneza PDF rahisi, audio fupi fupi na ukipenda pia kuna namna ya kutengeneza video fupi fupi za bila kutumia kamera kwa kiasi kikubwa. Yaani unatumia picha, na kuweka audio fulani nyuma yake; kwa kufuata mtiririko wa picha zitakazokuwa zinaonekana.

Kitabu hiki kitakupa mwongozo wa namna nzuri na rahisi iliyopo hivi sasa; katika kufunguliwa/kufungua blogu ndogo rahisi ya bure (blogspot) na channeli ya bure youtube. Halafu namna rahisi ya kuunganisha blogu, chaneli na vikundi vya WhatsApp vyenye wanafunzi waliolipia mafunzo yako.

• Blogu itakuwa kama maktaba (kwa sababu kuna mfumo wa kuruhusu watu fulani waliolipia, ndiyo waweze kusoma posti za blogu husika: kuna maelekezo). 

• Youtube inakuwa bure (free) kwa ajili tu ya kuweka video fupi fupi zinazotangaza tu kuhusu uwepo wako na kuwapeleka watu kwenye blogu; upande wa posti zinazoweza kusomwa na kila mtu, kabla ya kulipia.

• Vikundi vya WhatsApp, yatakuwa ndiyo madarasa ya kusema na kuelekeza vitu kwa undani, moja kwa moja kwa wanafunzi waliolipia mafunzo—mahali pa kutuma audio, picha/video zenye mambo ya kina, kwenye kozi zako.
Mawasiliano: 0763 258 095.
————————
№5: KUINGIZA SEHEMU YA KIPATO KWA KUANDIKA KWA AJILI YA WENGINE MTANDAONI_online typing.
Hivi sana kuna dunia mbili kwenye dunia hii tunayoishi. Au niseme kuna limwengu mbili. Teknolojia ya habari na mawasiliano imesababisha kuonekane ni kama kuna ulimwengu mwingine kwenye huu tuliopo; yaani ulimwengu wa mtandaoni (Internet/Online World). Ulimwengu halisia (physical world) na ulimwengu wa mtandaoni, wenye mazingira ya picha na vitu vingine vilivyo katika fomati tofauti tofauti za kielektroniki.

Kutokana na sababu hiyo, unaweza kufanya shughuli zako za kuingiza kipato kwenye ulimwengu wowote kati ya hizi limwengu mbili. Kila mtu anaweza kujipima na kuona anaweza ku-fit vizuri wapi. Wateja/wahitaji wa kazi za maandishi mtandaoni wanaongezeka kila siku.

Ukiwa na uwezo wa kuandika vizuri na kwa haraka; kazi nyingi za maandishi mtandaoni, unaweza kutengeneza kiasi kizuri cha pesa. Watu wengi sana wametingwa na wanahitaji kukamilisha kazi nyingi za maandishi. 

Kuna watu wanahitaji kusaidiwa kuandika mashairi, risala, hotuba au kusahihisha kazi za wakati uliopita ili ziandane na maudhui fulani ya sasa. Kuna watu wanahitaji wapate vitabu kutoka kwenye audio zilizorekodiwa kwenye semina, mahubiri na mihadhara mingine. Kuna watu wanahitaji kupata maandishi kutoka kwenye simulizi fulani au video.

Kitabu hiki kitakupa mwongozo mzuri wa kutumia smartphone yako kutengeneza dokumenti nzuri, kwa haraka kuliko ulivyodhani. Maarifa yaliyomo humu pia yatakusaidia kujua namna nzuri ya kuboresha uwezo wa kuandika aina tofauti tofauti za kazi za maandishi.

Wateja wako watazipata kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy) kama: PDF, doc, docx, txt na nyinginezo—kwa e-mail au WhatsApp. Wao watakulipa kwa mobile money kama M-pesa, halopesa, Tigo pesa, T-Pesa n.k (ikiwa wapo Tanzania) na utatakiwa kutumia link ya kupokelea malipo kwa intaneti (ikiwa wapo nchi nyingine za nje).
Mawasiliano: 0763 258 095.
_______________.  __________
___________
MATANGAZO YETU MENGINE:
——————————







Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...