Skip to main content

WATEJA WAKO SIO HAO TU


Rafiki, wateja wengine wa biashara yako au bidhaa na huduma unazotoa, wanapatikana kupitia WhatsApp.

Swali linalojitokeza kwenye ufahamu wa watu wengi, wanaoambiwa kauli iliyotangulia hapo juu, ni hili: nawezaje kuwauzia watu waliopo mtandaoni—hasa hasa kupitia WhatsApp?

Nafahamu kuna wengine miongoni mwetu, tunafahamu namna ya kufanya hivyo, ndiyo maana kuna vikundi vingi vya WhatsApp, vya watu wanaouza bidhaa mbalimbali. Bidhaa kama nguo, viatu, magari, viwanja, vyombo vya majumbani, vifaa vya umeme, vifaa vya ujenzi na nyingine nyingi. 

Tunahitaji kuendelea kufahamu mambo mapya, na kubadilishana mawazo juu ya namna nyingine mpya inayoweza kutusaidia kuliteka soko kwa urahisi—kupitia WhatsApp.

Tunaweza kukumbushana kuwa: katika suala la kuuzia mtandaoni, kuna bidhaa za aina mbili:

1. Bidhaa halisi zinazoshikika (Physical/Tangible Products).

2. Bidhaa za kidigitali (Digital/ Downloadable Products).


• Katika aina ya kwanza, ndipo kuna vitu kama nguo, viatu, magari, vipodozi, vifaa vya ujenzi, vifaa vya umeme majumbani, simu, na nyingine nyingi.

• Katika aina ya pili, ndipo kuna bidhaa zinazouzwa moja kwa moja mtandaoni—bila kusafirishwa. Mteja anaipata kwa njia ya mtandao. Kwa kutumiwa kwa e-mail au kwa njia nyingine au hata kwa kuipakua (download) kwenye tovuti (website) fulani—baada ya kukamilisha malipo.

Mifano baadhi ya bidhaa zinazohusika hapa ni: vitabu (softcopy—PDF), video, audio, picha, Apps na softwares nyingine. Vilevile kuna huduma ambazo zinatolewa mtandaoni, bila mteja kukutana ana kwa ana na mtoa huduma. Huduma hizo ni kama ubunifu wa graphics (graphic design) na Website Designing and Hosting. Hizo ni baadhi.

Katika aina hii, kila kitu; yaani malipo na makabidhiano ya bidhaa, vinakamilika moja kwa moja mtandaoni.

Katika suala la kutafuta wateja, hivi sasa tunaweza kuwa na watu wengi sana wa kuwafikia—kupitia WhatsApp. Wateja wa aina zote mbili za bidhaa wapo WhatsApp. 

Jambo muhimu la kufahamu na kulifanya ni namna nzuri (mpya) ya kuwafikia wengi miongoni mwao, na jinsi ya kuwatambua—kwa ajili ya kuwatangazia bidhaa au huduma yako. Hivi sasa kuna njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp, kwa muda mfupi na jinsi ya kuzitumia namba hizo katika:

1. Kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp pasipo kutegemea uwepo wa vikundi vya whatsapp na status pekee. Ili kuwafikia kwa mguso wa karibu, kwa kutumia mbinu ya P2P Sales Prospecting.

2. Kuweka na kupima mkakati rahisi wa kuandaa wateja tarajiwa wasio na kikomo kupitia WhatsApp.


KUMBUKA: WhatsApp inakadiriwa kuwa na watumiaji wengi sana.

Dunia nzima: zaidi ya bilioni 2.

Afrika: zaidi ya milioni 525.

Tanzania: zaidi ya milioni 10.

Wengi miongoni mwao, wapo kwenye vikundi mbalimbali vya whatsapp; mahali tunapoweza kupata mawasiliano yao.

Kitabu hiki, kinakupa njia nzuri (mpya) na rahisi ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp kwa haraka sana (kuliko ulivyodhani), na jinsi ya kuwafikia na kuwatambua wateja wa bidhaa au huduma zako zozote (Physical (offline) & Downloadable (online) Products and services). Utakapopata kitabu hiki, utaangalia biashara yako inaangukia kwenye kundi gani, kisha utasoma eneo linalogusa biashara yako. 


FOMATI YA KITABU: PDF (softcopy).

BEI YA KITABU: TSH 2,000/-

NJIA YA KUKIPOKEA: WhatsApp & Baruapepe (e-mail).

MAWASILIANO: 0743 517 138 (WhatsApp).

0763 258 095—malipo (EMMANUEL KIMANISHA).



______________________

UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:

---------------------------------








 

Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...