Skip to main content

UNAVYOWEZA KUJIAJIRI KUPITIA WHATSAPP.


Hivi sasa kuna mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi, na unaweza kuzitumia mwenyewe katika kuanzisha jambo moja au zaidi; lenye wateja wa uhakika kupitia WhatsApp. 

Unaweza kufanya mambo mbalimbali kwenye smartphone yako, yasiyohitaji ulazima wa wewe kukutana ana kwa ana na wateja wako. Ni mambo yenye wateja wanaopatikana WhatsApp. Wateja ambao watakulipa wakiwa kulekule waliko, na kupata huduma au bidhaa zilizo katika fomati za kidigitali (digital/downloadable/softcopy)—kwa WhatsApp na baruapepe (e-mail). 
Pia kuna namna ya kuwatangazia bidhaa za watu wengine wenye bidhaa halisi—kwa ushirika.

Baadhi ya mambo rahisi yanayowezekana kwenye smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp ni:

1. Kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wateja waliopo WhatsApp.

 2. Kuandika dokumenti fupi fupi/vitabu vidogo vidogo vya PDF, na kuviuza kwa wateja waliopo WhatsApp.

3. Kuuza kwa ushirika, kwa kutangaza [kupitia WhatsApp] bidhaa halisi za watu wengine wenye biashara—kisha kulipwa kwa asilimia fulani za mauzo.

4. Kuuza audio, picha na maelekezo ya moja kwa moja (maarifa) ya taaluma au uzoefu wako; kwa kufungua shule au madarasa kupitia WhatsApp.

Yapo mengi; yale unayoyafahamu na yale usiyoyafahamu pia, hayo ni baadhi tu.


Kitabu hiki, kitakuongezea uwezo wa kufanya mambo hayo kwa urahisi sana—ukiwa popote.

Maarifa haya yanatolewa kupitia WhatsApp.
Kitabu kina kurasa 55.
Kipo katika fomati ya PDF (softcopy).
Bei: 
• TSH 2,000 (kitabu tu—PDF); unakipata kwa WhatsApp/e-mail. 
• TSH 4,000: kitabu na kuwepo kwenye kikundi cha whatsapp (e-Businesses Via WhatsApp) kwa muda mwezi mmoja.
 
Baada ya kusoma kitabu hiki; 

• Utaongezea huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja  (smartphone) yako tu. 

• Utatumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zilizofafanuliwa kwenye kitabu ni: 

✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp
✓ Kifurushi cha intaneti.
✓ Simujanja (Smartphone).
✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.
✓ Apps maalumu za kufanikisha kazi tofauti tofauti.

• Utaongezea biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana — unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.

Mawasiliano ya kupata kitabu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp:
0763 258 095
0743 517 138—WhatsApp.
______________________________

---------------------------------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
---------------------------------------------





































Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...