Tunatambua, muda ni rasilimali muhimu mno kwenye maisha; watu wanaotambua ukweli huu, wanathamini matumizi mazuri ya muda.
--------------------------
Hii ni kwa sababu, vitu vyote na mambo yote uliyonayo kwenye maisha, na yale utakayokuwa nayo, ni matokeo ya vile unavyotumia muda wako.
--------------------------
Kwa sababu hiyo, kila mtu ambaye hukubali kutumia sehemu ya muda wake [hata dakika chache tu], tunapomfuata inbox; tunafurahi sana na kumpa ofa hii maalumu: achague kitabu kimoja kati ya hivi viwili kwa punguzo kubwa sana, yaani kwa TSH 1,000/- tu.
Chagua kitabu kimoja hapa, utatumiwa inbox kwako. Tunathamini muda wako uliotoa kwetu.
Kwa hakika, yale utakayoyapata kwenye vitabu hivi, yatakupa manufaa makubwa sana; hautajutia kutumia sehemu ya muda wako nasi—inbox kwako.
Asante!
0763 258 095.
0657 178 911—WhatsApp.
_______________
Comments
Post a Comment