Hivi sasa kuna mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi, na unaweza kuzitumia mwenyewe katika kuanzisha jambo moja au zaidi; lenye wateja wa uhakika kupitia WhatsApp.
Unaweza kufanya mambo mbalimbali kwenye smartphone yako, yasiyohitaji ulazima wa wewe kukutana ana kwa ana na wateja wako. Ni mambo yenye wateja wanaopatikana WhatsApp. Wateja ambao watakulipa wakiwa kulekule waliko, na kupata huduma au bidhaa zilizo katika fomati za kidigitali (digital/downloadable/softcopy)—kwa WhatsApp na baruapepe (e-mail).
Pia kuna namna ya kuwatangazia bidhaa za watu wengine wenye bidhaa halisi—kwa ushirika.
Baadhi ya mambo rahisi yanayowezekana kwenye smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp ni:
Baadhi ya mambo rahisi yanayowezekana kwenye smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) waliopo WhatsApp ni:
1. Kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone na kuziuza kwa wateja waliopo WhatsApp.
2. Kuandika dokumenti fupi fupi/vitabu vidogo vidogo vya PDF, na kuviuza kwa wateja waliopo WhatsApp.
3. Kuuza kwa ushirika, kwa kutangaza [kupitia WhatsApp] bidhaa halisi za watu wengine wenye biashara—kisha kulipwa kwa asilimia fulani za mauzo.
4. Kuuza audio, picha na maelekezo ya moja kwa moja (maarifa) ya taaluma au uzoefu wako; kwa kufungua shule au madarasa kupitia WhatsApp.
Yapo mengi; yale unayoyafahamu na yale usiyoyafahamu pia, hayo ni baadhi tu.
Kinapatikana kupitia WhatsApp/e-mail.Kina kurasa 55.Kipo katika fomati ya PDF (softcopy).Kinauzwa kwa TSH 2,000/-.
Baada ya kusoma kitabu hiki;
• Utaongezea huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja (smartphone) yako tu.
• Utatumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zilizofafanuliwa kwenye kitabu ni:
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp✓ Kifurushi cha intaneti.✓ Simujanja (Smartphone).✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.✓ Apps maalumu za kufanikisha kazi tofauti tofauti.
• Utaongezea biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana — unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.
Mawasiliano ya kupata kitabu:
0763 258 095
0743 517 138—WhatsApp.
______________________________
______________________________
UBAO WA MATANGAZO YA MAENEO MENGINE:
--------------------------------------------
---------------------------------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
---------------------------------------------
Comments
Post a Comment