Skip to main content

HUDUMA UNAZOWEZA KUFURAHIA KUPITIA WHATSAPP~LEO.


★Tunakutengenezea graphics zote.

Bei zilizoandikwa mbele ya aina husika ya graphic ni kwa pesa za kitanzania (TSHS).
------------
• poster (10,000)
• bango (20,000)
• vipeperushi (15,000)
• kalenda ya kawaida yenye picha zako mbili (softcopy) (2,500)
• business card/ID (softcopy) (15,000)
• lebo za bidhaa (20,000)
• nembo (logo) (50,000)
• kava la kitabu (softcopy) (12,000)
• documentary (40,000)
• food menu (15,000)
• vyeti (25,000)
• company profile (45,000) 
• video fupi za matangazo ya biashara—kwa picha za biashara (15,000/60secs).
_____________
UBAO WA MATANGAZO: 

(a) Vitabu vinavyouzwa (softcopy—PDF), kwa kutumiwa inbox kwako, WhatsApp; baada ya kulipia kupitia M-PESA: TSH 2,000-4,500.

~ chini ya picha hii, kuna jina na bei ya kila kitabu.

Bei ya kila kitabu:

1. Namna nyingine (mpya) rahisi ya KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP: TSH 4,500.
_______
2. Namna nyingine ya KUONGEZA SEHEMU YA KIPATO KUPITIA WHATSAPP NA SMARTPHONE: TSH 2,000.
_______
3. Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kwa wateja (wahitaji) waliopo WhatsAppTSH 2,500.
_______
4. Upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp: TSH 2,500.
_______
5. Unavyoweza kuuza maandishi yako mtandaoni [vitabu rahisi vya PDF, n.k]: TSH 2,500.
_______
6. Maarifa na uzoefu wako ni kipato Mtandaoni: TSH 2,500.
_______
7. Kuingiza kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine Mtandaoni—(online typing): TSH 2,500.
-----------------------
Ukija inbox, WhatsApp na kuomba ufafanuzi wa utangulizi kuhusu kitabu chochote unachotaka kununua, utapewa ufafanuzi huo.

Ukinunua kitabu chochote miongoni mwa hivi, utaunganishwa pia kwenye kikundi cha whatsapp [Income Library: 7 books], mahali pa kuwasilishwa jambo lolote unalohitaji kuelewa zaidi kutoka kwenye kitabu ulichonunua.
-----------------------
Mawasiliano:
0657 178 911 —Whatsapp.
0763 258 095.
0743 517 138

Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...