Skip to main content

WhatsApp Enhanced Economy School (WEESCO) —SWAHILI VERSION.


Maarifa haya hutolewa kwenye programu za maarifa kuhusu sehemu ya uchumi uliopo WhatsApp.
Vitabu hivi vinapatikana kupitia WhatsApp au e-mail. Hapo chini nimetoa ufafanuzi wa utangulizi kwa ufupi, kuhusu vitabu hivi.

1. Upatikanaji Wa Wateja Kupitia WhatsApp.
2. Kuingiza Kipato Kwa Smartphone Na WhatsApp.
_________________
KUHUSU KITABU NAMBA 1: Kitabu hiki kina maelekezo ya namna nyingine mpya ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp, kutokana na uvumbuzi wa kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp—ndani ya muda mfupi.
Hii ni kwa sababu kwa sababu hivi sasa tunayo mbinu mpya ya kuhifadhi (save) namba za WhatsApp, kwa kutumia lebo maalum za majina ya vikundi vya WhatsApp.
-------------------------------
Kwa mfano, kama kikundi kinaitwa BIASHARA YA SIMU TANZANIA, kina watu 200; tunasevu namba zote kwa lebo ya 'BST' (yaani BST 1 hadi BST 200).
• kama kikundi kinaitwa DARASA LA UFUGAJI KUKU (DUK 1 hadi DUK 200).
• kama kikundi kinaitwa SEMINA ZA MAHUSIANO (SEZAMA 1 hadi SEZAMA 200).
-------------------------------

Tunafanya hivyo kwa vikundi vyote unavyoamua kuhifadhi namba zote za washirika wake. Na unaweza kufupisha jina la kikundi husika, kivyovyote [vile itakavyokusaidia kukumbuka kwa urahisi].

Baada ya kusoma kitabu hiki; 
★ Utaweza kukusanya na kuhifadhi kwa urahisi, namba zote za washirika wote wa vikundi vyote unavyojiunga na kuamua kusevu namba hizo.

★ Utaweza kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi, na utaweza kuongeza watu wanaosevu namba yako; jambo ambalo litakuongezea watazamaji wengi wa status zako—ndani ya muda mfupi.

★ Kwa sababu ya utumiaji wa lebo hizi na kuhifadhi (save) namba kwenye e-mail; utaanza kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.

Mawasiliano ya kupata kitabu:
0763 258 095
0657 178 911—WhatsApp.
_________________________
KUHUSU KITABU NAMBA 2: Kitabu hiki kina maelekezo ya namna nyingine ya kuingiza sehemu nzuri ya kipato chako, kwa kufanya mambo kadhaa kwa kutumia smartphone; mambo ambayo yana wateja wa uhakika wanaopatikana WhatsApp. Huduma na biashara zisizohusisha kukutana ana kwa ana, zinawezekana kufanyika na kutolewa kupitia WhatsApp.

Baada ya kusoma kitabu hiki; 
• Utaongezea huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja  (smartphone) yako tu. 

• Utatumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zinazoelezewa hapa ni: 
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp
✓ Kifurushi cha intaneti.
✓ Simujanja (Smartphone).
✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.
✓ Apps maalumu za kufanikisha kazi tofauti tofauti.

• Utaongezea biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana — unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.

Mawasiliano ya kupata kitabu:
0763 258 095
0657 178 911—WhatsApp.
______________________________
______________________________
UBAO WA MATANGAZO MENGINE:
--------------------------------------------












Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...