Kitabu hiki hutolewa bure kama ofa (tangu mwanzoni mwa mwezi Aprili), unaponunua kitabu kingine chochote miongoni mwa vile vitabu saba (7) vilivyopo HAPA; vyenye maarifa kuhusu sehemu nyingine ya uchumi uliopo WhatsApp.
Kitabu hiki kinapouzwa pekee yake huuzwa kwa bei ya TSH 1,000 hadi 2,500 (elfu moja hadi elfu mbili mia tano). Hivi sasa kinauzwa kwa TSH 2,000. Kipo katika fomati ya PDF; ukilipia kwenda namba 0763 258 095—Emmanuel Kimanisha, kitabu hiki kinatumwa inbox kwako, WhatsApp.
Kina kurasa 55 (55 pages—including the cover & the last page [author's description page]).
_________
Ufafanuzi Wa Utangulizi [Kwa Ufupi] Kuhusu Yaliyomo Kwenye Kitabu Hiki.
Baada ya kusoma kitabu hiki;
• Utafahamu huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja (smartphone) yako tu.
• Utaweza kutumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zinazoelezewa hapa ni:
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp✓ Kifurushi cha intaneti.✓ Simujanja (Smartphone).✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.✓ Apps za kufanikisha kazi husika.
• Utafanya biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana [kwa muda wa ziada]— unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.
_____________
UNAWEZA KUKIPATA LEO, WAKATI HUU INBOX, KWA KUINGIA INBOX KWETU HAPA [INBOX DOOR].
_________________
Comments
Post a Comment