Skip to main content

PESA ILIYOPO KWENYE MUDA NA AKILI.


Tunatambua, muda ni rasilimali muhimu mno kwenye maisha; watu wanaotambua ukweli huu, wanathamini matumizi mazuri ya muda.
--------------------------
Hii ni kwa sababu, vitu vyote na mambo yote uliyonayo kwenye maisha, na yale utakayokuwa nayo, ni matokeo ya vile unavyotumia muda wako.
--------------------------
Kwa sababu hiyo, kila mtu anayekubali kutumia sehemu ya muda wake [hata dakika chache tu] kila siku, kupata maarifa yenye tija; huokoa miaka mingi ambayo angehangaika sana katika kufanya na kufanikisha jambo fulani—kwenye mipango yake.

Kwa kuwa maarifa ni chakula kizuri cha nia na akili, Mungu alitupatia mtaji na rasilimali kuu mbili:
1. Muda.
2. Akili.
Rasilimali hizi zinaathiri vitu vingine vyote kwenye maisha yako.


Chochote utakachokipata au kukifanya kwenye maisha yako, kitaathiriwa na matumizi yako ya muda na akili. Usiseme 'mtaji hautoshi'. Usiseme 'pesa niliyonayo haitoshi'. Akili uliyonayo ikipata maarifa (au maelekezo sahihi), kwa wakati sahihi [hapo ulipo], basi vitu vyote ulivyonavyo HIVI SASA vinatosha kabisa kutumika, katika  kuanza kubadilisha mazingira na hali uliyonayo sasa.

Ungana nasi leo, kwa kupata funguo mbili (2) za kufungulia milango ya vyumba vyenye pesa WhatsApp.


Chagua kitabu kimoja hapa, utatumiwa inbox kwako WhatsApp au kwa e-mail. Thamini muda wako kwa kupata maarifa haya leo.

Ikiwa utahitaji kupata ufafanuzi wa utangulizi kuhusu vitabu hivi, tembelea posti yetu kwa kufungua HAPA [VISIT]

Karibu!

0763 258 095.
0743 517 138—WhatsApp.

-----------------------
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE:
-----------------------


_______________

RELATED LINKS:


Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...