Sote tunatambua kuwa, tulipewa rasilimali kuu mbili, kutoka kwa Muumba wetu, MUNGU, aliyeziumba mbingu na nchi. Matumizi yako ya rasilimali hizi yanaathiri mitaji na rasilimali nyingine zote—kwenye maisha yako.
Rasilimali hizi ni:
1. Muda.
2. Akili.
Kwa maana hiyo, akili ikipata maarifa sahihi [ambayo ndiyo chakula chake], utatumia muda ulionao vizuri, katika kufanya mambo makubwa; yenye kubadilisha mazingira na hali yako ya sasa. Hautasema tena 'mtaji hautoshi', wala hautasema tena 'muda hautoshi'.
Vitu vile vile ilivyonavyo hapo ulipo, HIVI SASA vinatosha kabisa kuanza kubadilisha maisha yako ya mazingira yako pia. Tambua maarifa (chakula) sahihi kwa ajili ya akili yako, ili uweze kuutumia muda wako vizuri.
Leo, nakukaribisha kwenye uwanja wa maarifa haya, kwenye vitabu hivi viwili. Vinapatikana kupitia WhatsApp, ni softcopy (PDF).
Karibu sana!
-------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
---------------------
Comments
Post a Comment