WhatsApp Enhanced Economy School (WEESCO).
Maarifa haya hutolewa kwenye programu za maarifa kuhusu sehemu ya uchumi uliopo WhatsApp.
Vitabu hivi vinapatikana kupitia WhatsApp au e-mail. Hapa chini nimetoa ufafanuzi wa utangulizi kwa ufupi, kuhusu vitabu hivi.
_________________
KUHUSU KITABU NAMBA 1: Kitabu hiki kina maelekezo ya namna nyingine mpya ya kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp, kutokana na uvumbuzi wa kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp—ndani ya muda mfupi.
Hii ni kwa sababu kwa sababu hivi sasa tunayo mbinu mpya ya kuhifadhi (save) namba za WhatsApp, kwa kutumia lebo maalum za majina ya vikundi vya WhatsApp.
-------------------------------
Kwa mfano, kama kikundi kinaitwa BIASHARA YA SIMU TANZANIA, kina watu 200; tunasevu namba zote kwa lebo ya 'BST' (yaani BST 1 hadi BST 200).
• kama kikundi kinaitwa DARASA LA UFUGAJI KUKU (DUK 1 hadi DUK 200).
• kama kikundi kinaitwa SEMINA ZA MAHUSIANO (SEZAMA 1 hadi SEZAMA 200).
-------------------------------
Tunafanya hivyo kwa vikundi vyote unavyoamua kuhifadhi namba zote za washirika wake. Na unaweza kufupisha jina la kikundi husika, kivyovyote [vile itakavyokusaidia kukumbuka kwa urahisi].
Baada ya kusoma kitabu hiki;
★ Utaweza kukusanya na kuhifadhi kwa urahisi, namba zote za washirika wote wa vikundi vyote unavyojiunga na kuamua kusevu namba hizo.
★ Utaweza kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi, na utaweza kuongeza watu wanaosevu namba yako; jambo ambalo litakuongezea watazamaji wengi wa status zako—ndani ya muda mfupi.
★ Kwa sababu ya utumiaji wa lebo hizi na kuhifadhi (save) namba kwenye e-mail; utaanza kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
Mawasiliano ya kupata kitabu:
0763 258 095
0657 178 911—WhatsApp.
_________________________
KUHUSU KITABU NAMBA 2: Kitabu hiki kina maelekezo ya namna nyingine ya kuingiza sehemu nzuri ya kipato chako, kwa kufanya mambo kadhaa kwa kutumia smartphone; mambo ambayo yana wateja wa uhakika wanaopatikana WhatsApp. Huduma na biashara zisizohusisha kukutana ana kwa ana, zinawezekana kufanyika na kutolewa kupitia WhatsApp.
Baada ya kusoma kitabu hiki;
• Utafahamu huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja (smartphone) yako tu.
• Utaweza kutumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zinazoelezewa hapa ni:
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp✓ Kifurushi cha intaneti.✓ Simujanja (Smartphone).✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.✓ Apps za kufanikisha kazi husika.
• Utafanya biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana [kwa muda wa ziada]— unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.
Mawasiliano ya kupata kitabu:
0763 258 095
0657 178 911—WhatsApp.
____________
Comments
Post a Comment