Hongera. Jisikie huru na amani kuwepo hapa. Tunapenda kupata mrejesho mzuri kutoka kwako. Bila shaka ni mtu uliyejaliwa uwezo mzuri. Wanaokupenda watafurahia mafanikio yako. Nasi tunatamani kujua mtazamo wako, katika kukupenda pia. Karibu.
--------------------
Leo naomba tutembelee maeneo mawili tu, ili kuokoa muda pia. Maeneo hayo ni:
1. ENEO LENYE VITABU (SOFTCOPY—PDF): Vinavyohusu Smartphone na Whatsapp katika kuanzisha na kuendesha biashara.
2. MAHALI UNAPOWEZA KUPATA HUDUMA NZURI YA KUTENGENEZEWA GRAPHICS, KULINGANA NA HITAJI LAKO: Posters, Business Card, Logo/Nembo, Lebo, Vipeperushi, Kava la Kitabu, Vitambulisho/ID, Kalenda zenye picha zako, n.k.
★—Ili kufika eneo husika, tembelea kwa kufungua viunganishi vilivyopo hapa chini:
(I) Smartphone na Whatsapp Kwenye Biashara [TEMBELEA].
(II) Huduma Za Kutengenezewa Graphics [TEMBELEA].
____________
PICHA:
--------------------
________________
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
----------------------
Comments
Post a Comment