Tunatambua, muda ni rasilimali muhimu mno kwenye maisha; watu wanaotambua ukweli huu, wanathamini matumizi mazuri ya muda.
--------------------------
Hii ni kwa sababu, vitu vyote na mambo yote uliyonayo kwenye maisha, na yale utakayokuwa nayo, ni matokeo ya vile unavyotumia muda wako.
--------------------------
Kwa sababu hiyo, kila mtu anayekubali kutumia sehemu ya muda wake [hata dakika chache tu] kila siku, kupata maarifa yenye tija; huokoa miaka mingi ambayo angehangaika sana katika kufanya na kufanikisha jambo fulani—kwenye mipango yake.
Kwa kuwa maarifa ni chakula kizuri cha nia na akili, Mungu alitupatia mtaji na rasilimali kuu mbili:
1. Muda.2. Akili.
Rasilimali hizi zinaathiri vitu vingine vyote kwenye maisha yako.
Chochote utakachokipata au kukifanya kwenye maisha yako, kitaathiriwa na matumizi yako ya muda na akili. Usiseme mtaji hautoshi. Usiseme pesa niliyonayo haitoshi. Akili uliyonayo ikipata maarifa (au maelekezo sahihi), kwa wakati sahihi [hapo ulipo], basi vitu vyote ulivyonavyo HIVI SASA vinatosha kabisa kuanza kubadilisha mazingira na hali uliyonayo sasa.
Ungana nasi leo, kwa kupata funguo mbili (2) za kufungulia milango ya vyumba vyenye pesa WhatsApp.
Chagua kitabu kimoja hapa, utatumiwa inbox kwako WhatsApp au kwa e-mail. Thamini muda wako kwa kupata maarifa haya leo.
Ikiwa utahitaji kupata ufafanuzi wa utangulizi kuhusu vitabu hivi, tembelea posti yetu kwa kufungua HAPA [VISIT]
Karibu!
0763 258 095.
0743 517 138—WhatsApp.
-----------------------
MATANGAZO YA MAENEO YETU MENGINE:
-----------------------
----------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+2557 43 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
---------------------
_______________
Comments
Post a Comment