Kuwafikia maelefu ya watu waliopo WhatsApp, kwa lengo la
• Kuwaalika kwenye vikundi vya biashara WhatsApp.
• Kuwakaribisha kwenye maarifa ya kupata uwezo binafsi, wa kutengeneza uhakika wa wateja/kipato kupitia WhatsApp.
YALIYOMO:
1. Ukweli kuhusu vikundi 90 [WhatsApp] vyenye wastani wa washirika 200, kwa kila kikundi (18,000 contacts).
2. Jinsi ya kuingia kwenye uwanja huu.
3. Ubao Wa Matangazo Mengine.
_________________________
1. Ukweli Kuhusu Vikundi 90 [WhatsApp] Vyenye Wastani Wa Washirika 200, Kwa Kila Kikundi (18,000 Contacts).
Kutokana na uwepo wa njia mpya hivi sasa; ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp, katika vikundi mbalimbali unavyojiunga na kutaka kuhifadhi namba hizo, kwa wingi na kwa urahisi, unaweza kuwafikia watu wengi zaidi waliopo WhatsApp—kwa namna nzuri isiyovunja taratibu za WhatsApp.
Njia hii ya EO Gadgets 77, imeelekezwa kwenye dokumenti fupi ya PDF (Softcopy) inayopatikana HAPA (VISIT).
Vilevile kutokana na uwepo wa vikundi vya WhatsApp vyenye majina ya Soko La Bidhaa Zote na Link Za Vikundi Vingine; unaweza kufika kwenye vikundi vingine vingi tofauti tofauti—vya biashara, ajira/namna ya kujiajiri wenyewe mtandaoni—kwa mtaji na rasilimali rahisi.
______________
2. JINSI YA KUINGIA KWENYE UWANJA HUU.
Kwa sababu za kiusalama na kutoharibu utulivu wa vikundi vyetu vya WhatsApp, hatujaweka link hizo hapa; kwenye eneo la hadharani (public post), hapa utapata link za vikundi vitatu (3) kwa sasa. Mahali ambapo utapata link za vikundi vingine vya biashara na ajira:
1. Soko La Bidhaa Zote (Group №10).
2. Link Za Vikundi Vingine (Group № 26.
3. 90 Groups—Biashara & Ajira (Group № 26).
Zaidi sana ni vizuri upate kitabu (softcopy—PDF) chenye maarifa rahisi ya namna nyingine mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp, wewe mwenyewe; na namna ya kuwafikia watu hawa—kwa urahisi. Kitabu hicho kinapatikana pia HAPA [VISIT].
_______________
3. UBAO WA MATANGAZO MENGINE.
------------------------
----------------------
----------------------
EMMANUEL KIMANISHA.
+255 743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
----------------------
----------------------
Comments
Post a Comment