Skip to main content

MAKTABA: Kila Kitabu TSH 2,500 (softcopy).


YALIYOMO:
• Orodha Ya Vitabu Vilivyopo.
• Utangulizi Wa Kila Kitabu—Kwa Ufupi.
• Ubao Wa Matangazo.
__________
Vitabu hivi vipo katika fomati ya PDF (softcopy). Unapohitaji kitabu husika, unafanya malipo kwa namba yetu ya malipo (0763 258 095—Emmanuel Kimanisha), na kueleza kitabu ulicholipia. Kitabu kitatumwa inbox kwako, WhatsApp.

Ukinunua kitabu chochote, utaongezwa kwenye kikundi cha whatsapp (Income Library), mahali pa kuwasilishwa jambo lolote unalohitaji kuelewa zaidi kutoka kwenye kitabu husika—na kupewa ufafanuzi.
__________
ORODHA YA VITABU VILIVYOPO:
1. Kutengeneza graphics Kwa smartphone na kuziuza kwa WhatsApp. 
2. Kuongeza upatikanaji wa wateja wengi kupitia WhatsApp. 
3. Kufungua blogu ndogo rahisi mwenyewe—kwa smartphone. 
4. Unavyoweza kuuza maandishi yako mtandaoni. 
5. Maarifa na uzoefu wako ni kipato Mtandaoni. 
6. Andika kwa mkono na uuzie mtandaoni. 
7. Online Typing—kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine mtandaoni.
________________________
UTANGULIZI WA KILA KITABU—KWA UFUPI.

1. Kutengeneza graphics Kwa smartphone na kuziuza kwa WhatsApp. 
UTANGULIZI KWA UFUPI: Kitabu hiki kina maelekezo ya namna ya kuitumia App, ambayo ni rahisi kuitumia kwenye smartphone. App hii imeletwa ili kuwasadia watu wasio na maarifa mengi au yoyote (Non-Designers) kuhusu ubunifu wa graphics, na wanatamani kuwa na uwezo wa kutengeneza graphics nzuri, kwenye smartphone. 
Graphics ambazo utaweza kuzibuni kwa maelekezo haya ni posters, kalenda zenye mpangilio na picha unazotaka, business card, logo rahisi, makava rahisi ya vitabu, profile za mitandao ya kijamii na nyingine nyingi.
Ndani ya kitabu hiki pia utapata njia nzuri ya kujitambulisha kwa watu waliopo WhatsApp; ili upate wateja wa graphics zako, miongoni mwao.

2. Kuongeza upatikanaji wa wateja wengi kupitia WhatsApp. 
UTANGULIZI KWA UFUPI: Jambo linalobeba umuhimu wa kitabu hiki, ni suala la ufumbuzi mpya wa kusevu namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi. Jambo linawezekana kwa sababu namba hizo zinahifadhiwa (saved) kwa lebo maalum; utumiaji wa lebo maalum (vifupisho vya majina ya vikundi vya WhatsApp), unakupa urahisi wa kufanikisha mambo makuu matatu (3):
(i) Kuwafikia watu wengi inbox ndani ya muda mfupi.
(ii) Kupata na kuongeza watazamaji wengi wa status zako, ndani ya muda mfupi.
(ii) Urahisi wa kuweka mkakati, wa kutengeneza uhakika wa wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.

3. Kufungua blogu ndogo rahisi mwenyewe—kwa smartphone.
UTANGULIZI KWA UFUPI: Utaweza kufungua blogu ndogo rahisi za gredi ya bure, kwenye [platforms] majukwaa mawili ya mtandaoni: blogspot na wordpress. Kitabu kina kurasa 28 tu, maelekezo yamewekwa kwenye maandishi na picha za screenshot za hatua kwa hatua.
Ukikisoma leo, unaweza kuanza kufungua blogu ndogo na rahisi za gredi ya bure ndani ya dakika chache, baada tu ya kukisoma.

4. Unavyoweza kuuza maandishi yako mtandaoni. 
UTANGULIZI KWA UFUPI: Hapa utafahamu njia rahisi za kutumia Apps tatu kwenye smartphone, zitakazokusaidia kutengeneza dokumenti au vitabu vizuri; kwa urahisi sana—na ndani ya muda mfupi. Utagundua namna nyingine rahisi ya kuanza na kukamilisha uandishi wa dokumenti zako, kwenye smartphone tu—ukiwa popote.

Kwenye kitabu hiki pia, kuna kitu kingine muhimu; namna rahisi ya kutangaza vitabu/dokumenti zako—kwa watu waliopo kwa kupitia blogu ndogo rahisi ya bure [mahali pa kuonyeshea makava ya vitabu au dokumenti zako fupi fupi. Utaanza kunufaika kwa kupitia mfumo rahisi wa kujitangaza na kuuza (njia za malipo rahisi kama M-pesa, Halopesa, Tigo pesa..n.k) dokumenti zako.

5. Maarifa na uzoefu wako ni kipato Mtandaoni. 
UTANGULIZI KWA UFUPI: Ikiwa wewe una uzoefu fulani kwenye jambo fulani lenye tija au una taaluma fulani rasmi; unaweza kutumia mbinu nzuri na rahisi zilizopo kwenye kitabu hiki, kufundisha maarifa hayo—kwa namna nzuri itakayokulipa vizuri.

Wakati unasoma na hata baada ya kusoma kitabu hiki, utaweza kutengeneza mfumo rahisi wa kuhusisha WhatsApp, blogu ndogo ya bure na chaneli rahisi ya bure youtube; katika kufundisha maarifa hayo.

6. Andika kwa mkono na uuzie mtandaoni.
UTANGULIZI KWA UFUPI: Pengine umejiuliza, ninawezaje kuuza maandishi niliyoyaandika kwa mwandiko wa mkono—mtandaoni? Jibu ni hili: kitabu hiki kina maelekezo ya namna ya kutumia smartphone yako ku-scan kurasa zenye maandishi ya mwandiko wa mkono (handwritten notes pages), na namna ya kuziingiza kwenye dokumenti itakayouzwa kama PDF—mtandaoni. 

Kwa wale wenye mwandiko mzuri, wa maandishi ya kuandika kwa mkono, wanaweza kuuza sana maandashi ya mfumo huu. Watu wengi bado wanapenda kuona na kutumia maandishi yaliyoandikwa kwa mkono [na hasa mwandiko ukiwa mzuri] na hata michoro mizuri [kwa masomo yenye michoro].

7. Online Typing—kipato kwa kuandika kwa ajili ya wengine mtandaoni.
UTANGULIZI KWA UFUPI: Kitabu hiki kinakupa mwongozo wa namna ya kuandika kazi mbalimbali za maandishi kwa ajili ya wengine. Kwa mfano, kuna watu wanahitaji audio fulani za mihadhara, mahubiri au semina, ziwepo kwenye maandishi au vitabu.
Kuna watu ambao wanahitaji kupangiliwa kazi fulani za maandishi. Pia kuna wale ambao hutuma picha za kurasa za karatasi zilizokwisha kuchapwa (hardcopy past papers), na wanahitaji watengeneze nakala iliyo katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kama word (doc au docx) na nyinginezo.

Ukijitangaza kwa maelekezo yaliyotolewa kwenye kitabu hiki, utaanza kupata kazi nyingi za namna hiyo na nyingine nyingi ambazo sijazitaja hapa. Utaweza kufanikisha mambo haya, kwenye Smartphone yako. 

Wateja wako wanazipata kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy)—kwa e-mail/WhatsApp. Wao wanakulipa kwa mobile money kama M-pesa Halopesa, Tigo pesa, T-Pesa, Airtel Money n.k au kwa link ya kupokelea malipo Mtandaoni—ikiwa wapo nchi za nje.
_________________
UBAO WA MATANGAZO:
Ad✓: e-Digital Products Library: maktaba yenye mambo manne (4)—ya kuongeza ufanisi katika yale unayojihusisha nayo—popote ulipo [VISIT].






Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...