• GRAPHICS, PDFs, AUDIOS & VIDEOS.
YALIYOMO KWENYE POSTI HII FUPI:
1. Huduma za kukutengenezea Graphics mbalimbali: katika makundi mawili.
(a) Graphics zinazohitajika ndani ya muda mfupi sana (za dharura sana)(za bei ya chini kidogo:TSH 7,000-35,000).
(b) Graphics zinazotolewa taarifa yake mapema kwa wakati na muda wa kutosha (bei ya kawaida:TSH 10,000-50,000).
––––––—————
2. Maarifa yanayotolewa kwa audio, vitabu (PDF) na vikundi vya WhatsApp.
––––––—————
3. Maarifa yaliyopo kwenye vitabu (PDF) tu na vikundi vya WhatsApp kwa ajili tu ya kila aliyenunua kitabu chochote; kuwasilisha changamoto yoyote anayokutana nayo—wakati wowote [kila kitabu Tsh 2,500].
––––––—————
4. Ufafanuzi wa ziada kuhusu matangazo mengine.
––––––—————
––––––—————
UFAFANUZI WA KILA JAMBO TAJWA HAPO JUU, UMETOLEWA KWA PICHA ZILIZOPO HAPA CHINI.
———
1. Huduma za kukutengenezea Graphics mbalimbali; zipo za makundi mawili:
(a) Graphics zinazohitajika ndani ya muda mfupi sana (za dharura sana)(za bei ya chini kidogo: Tsh 7,000-35,000).
(b) Graphics zinazotolewa taarifa yake mapema kwa wakati na muda wa kutosha (bei ya kawaida: Tsh 10,000-50,000).
2. Maarifa yanayotolewa kwa audio, vitabu (PDF) na vikundi vya WhatsApp.
Unaweza kuamua kupata kitabu (PDF) tu, audio na kitabu au vyote na kuunganishwa kwenye kikundi husika cha WhatsApp. Bei zinatofautiana kulingana na plan yako.
3. Maarifa yaliyopo kwenye vitabu tu, vidogo vidogo vya PDF.
Kuna vikundi vya WhatsApp (Simple Online Income Skills) kwa ajili tu ya kila aliyenunua kitabu chochote; kuwasilisha changamoto yoyote anayokutana nayo—wakati wowote.
4. Ufafanuzi wa ziada kuhusu matangazo mengine.
• Tunakutengenezea pia kalenda nzuri yenye picha zako [mbili/tatu] unazotaka ziwepo. Unaipata katika fomati ya picha—kupitia WhatsApp. Bei: Tsh 2,500.
• Vilevile tunakutengenezea tangazo zuri rahisi, lililo katika fomati ya audio; kwa kuchanganya ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji. Bei: Tsh 10,000/30 secs.
KARIBU SANA RAFIKI
0743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com
Congratulation Emmanuel
ReplyDeleteMy advice is keep on doing your best, I hope you will be the best internationally. Good luck ����
Iam so happily blessed to hear that from you, friend. God bless you for your encouragement!
DeleteThank you!