Utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa.
Tulipogundua njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, jambo lililoonekana kusababisha matokeo mazuri sana, ni utumiaji wa lebo maalum kusevu namba hizo.
Kwa mfano, tunaweza kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku kwa ajili yako. Pia katika kitabu hiki utafundishwa jinsi ya kufanya hivyo mwenyewe. Kuna namna jambo hili linakwenda kukusaidia kufikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi.
Tunaposema lebo maalum, tunamaanisha nini? Na kwa nini utumiaji wa lebo maalum umesababisha upatikanaji wa matokeo mazuri sana?
Lebo maalum zinakuwa hivi; tuchukulie mfano huu: unataka kusevu namba 200, kwenye kikundi cha whatsapp kinachoitwa BIASHARA YA SIMU NA KOMPYUTA. Watu wote (200) wa kikundi hicho, kwa mfumo wetu, watakuwa saved kwa jina la kifupisho cha kikundi hicho yaani BISIKO au BSK. Baada ya kusevu; namba ya mtu wa kwanza itaonekena kama BISIKO 1, wa pili kama BISIKO 2, wa tatu kama BISIKO 3...zitaenda hivi hadi wa mwisho (wa 200) kama BISIKO 200.
Unafanya hivyo kwa vikundi mbalimbali unavyoamua kukusanya na kuhifadhi (save) namba za washirika wake wote—ndani ya muda mfupi sana. Hakuna kikomo. WhatsApp ina mamilioni ya watu. Ni wewe tu kuamua unataka ufikishe watu wangapi, ndani ya muda gani.
Baada ya kupata maelekezo haya utaweza:
1. Kuwafikia watu wapya zaidi ya 1000 INBOX (INDIVIDUALLY) kila baada ya siku 14.
2. Kutumia mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa urahisi kwenye namba nyingi—unazosevu kwa mfumo wetu rahisi.
3. Kupata na kuongeza watazamaji wa status zako—ndani ya muda mfupi.
4. Kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
5. Kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi—kwa njia mpya rahisi ya EO Gadgets 77 iliyopo hivi sasa.
6. Kusaidiwa kukusanya na kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya WhatsApp unavyojiunga na kutaka kusevu namba—ndani ya muda mfupi.
Fomati: PDF , Audio zilizorekodiwa na maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi cha whatsapp.
Bei ya sasa: Tsh 4,500 (KITABU [PDF] TU)
TSH 9,000 (KITABU & AUDIO ZOTE)
TSH 12,000 (Kitabu, audio na kuwepo kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sale Via WhatsApp); darasa la maelekezo ya moja kwa moja)
Upatikanaji: WhatsApp/e-mail.
Idadi ya kurasa kwenye kitabu (PDF): 31
Mawasiliano: 0738609426/WhatsApp au 0763 258 095 (mawasiliano ya kawaida na malipo).
________
MATANGAZO MENGINE:
________________
Comments
Post a Comment