Skip to main content

UTATENGENEZA NA KUUZA GRAPHICS KWA SMARTPHONE {whatsApp}

Ni furaha tena, kwa wale wote tunaotaka kuanza au kuendelea kuingiza sehemu ya kipato kwa kubuni na kutengeneza graphics nzuri, kwa ajili ya wahitaji waliopo WhatsApp.
_____________
Ikiwa bado hauna jambo unalofanya mtandaoni au unalo na unatamani pia kuongeza lingine, hasa hasa kupitia WhatsApp, linaloweza kukuingizia sehemu nzuri ya kipato chako; maarifa ya programu hii (UBUNIFU WA GRAPHIC NZURI KWA SMARTPHONE) yanakupa mwanzo na mwendelezo mzuri wa kufanya jambo hilo.

Utaweza kufanya ubunifu na uuzaji wa graphics kama vile: posters, flyers, business card, kalenda, makava rahisi ya vitabu na nyingine nyingi—kwa kutumia smartphone na kuwahudumia wahitaji (wateja) wake wanaopatikana WhatsApp. Graphics zinahitajika sana, na watu wengi waliopo WhatsApp ni wahitaji wa graphics. 

Jambo zuri sana katika kutengeneza na kuuza graphics kwa namna hiyo ni kwamba: wateja wanatuma maelekezo yao, kwa WhatsApp au jumbe na mawasiliano ya kawaida. Baada ya kutengeneza graphic za wateja wako, unawatumia kwa WhatsApp au baruapepe (e-mail); wakiwa kule waliko, halafu wao wanakulipa kwa mobile money kama: M-pesaHalopesaTigo pesaAirtel MoneyTTCL pesa na nyingine. 
Kwa mfano, kuna mteja anahitaji umtengenezee kalenda ya mwaka 2021, kwa kuweka picha zake. Hii ina inafanikishwa kwa urahisi huu: yeye anatuma picha zake [anazotaka ziwepo kwenye kalenda]. Anazituma kwa e-mail au WhatsApp. Baada tu ya wewe kuzipokea, unamtengenezea na kumtumia kalenda yake; ikiwa katika fomati ya PDF au picha origino (original) ya fomati ya JPG. Mteja wako atai-print kalenda yake, kule kule aliko—mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za picha (stationery/studio ya picha). Atakulipa kwa mobile money, au njia nyingine za kupokelea malipo mtandaoni. Huu ni mfano mojawapo mdogo, katika kufanya mambo mbalimbali; baada ya kupata maarifa ya programu hii.
BEI YETU YA KUJIFUNZA MAARIFA HAYA:
Tsh 3,500: Kitabu (PDF), Audio zote na link ya App.
Tsh 5,000: Kitabu (PDF), Audio za vipengele vyote, link ya App na kuwepo kwenye kikundi cha WhatsApp [Simplified Graphic Designing], bila ukomo wa muda.
————————
Kuna dokumenti yetu (PDF) fupi, ya ufafanuzi wa utangulizi, inapatikana BURE kwa WhatsApp; kwa kuipakua HAPA [Download.pdf]. Inakupa maelekezo muhimu (ya utangulizi) kuhusu programu hii. karibu sana. Uwe huru pia kuuliza lolote (0763 258 095 kwa mawasiliano ya kawaida) kuhusu programu hii.
___________________



Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...