Skip to main content

Online School, Library & Creation Point.

• Working With/On PDFs, Audios, Videos & Graphics.

YALIYOMO KWENYE POSTI HII FUPI:

1. Huduma za kukutengenezea Graphics mbalimbali: katika makundi mawili.
(a) Graphics zinazohitajika ndani ya muda mfupi sana (za dharura sana)(za bei ya chini kidogo:TSH 7,000-35,000).
(b) Graphics zinazotolewa taarifa yake mapema kwa wakati na muda wa kutosha (bei ya kawaida:TSH 10,000-50,000).
––––––—————
2. Maarifa yanayotolewa kwa audio, vitabu (PDF) na vikundi vya WhatsApp.
––––––—————
3. Maarifa yaliyopo kwenye vitabu (PDF) tu na vikundi vya WhatsApp kwa ajili tu ya kila aliyenunua kitabu chochote; kuwasilisha changamoto yoyote anayokutana nayo—wakati wowote [kila kitabu Tsh 2,500].
––––––—————
4. Ufafanuzi wa ziada na matangazo mengine.
––––––—————
––––––—————
UFAFANUZI WA KILA JAMBO TAJWA HAPO JUU, UMETOLEWA KWA PICHA ZILIZOPO HAPA CHINI.
———
1. Huduma za kukutengenezea Graphics mbalimbali; zipo za makundi mawili:
(a) Graphics zinazohitajika ndani ya muda mfupi sana (za dharura sana)(za bei ya chini kidogo: Tsh 7,000-35,000).

(b) Graphics zinazotolewa taarifa yake mapema kwa wakati na muda wa kutosha (bei ya kawaida: Tsh 10,000-50,000).
——————
2. Maarifa yanayotolewa kwa audio, vitabu (PDF) na vikundi vya WhatsApp.
Unaweza kuamua kupata kitabu (PDF) tu, audio na kitabu au vyote na kuunganishwa kwenye kikundi husika cha WhatsApp. Bei zinatofautiana kulingana na plan yako.
——————
3. Maarifa yaliyopo kwenye vitabu tu, vidogo vidogo vya PDF.
Kuna vikundi vya WhatsApp (Simple Online Income Skills) kwa ajili tu ya kila aliyenunua kitabu chochote; kuwasilisha changamoto yoyote anayokutana nayo—wakati wowote.
——————
4. Ufafanuzi wa ziada kuhusu matangazo mengine.
• Tunakutengenezea pia kalenda nzuri yenye picha zako [mbili/tatu] unazotaka ziwepo. Unaipata katika fomati ya picha—kupitia WhatsApp. Bei: Tsh 2,500.

• Vilevile tunakutengenezea tangazo zuri rahisi, lililo katika fomati ya audio; kwa kuchanganya ala nzuri za muziki nyuma ya sauti ya mtangazaji. Bei: Tsh 10,000/30 secs.

KARIBU SANA RAFIKI
0743 517 138
emmanuellibraries@gmail.com

Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...