Kitabu hiki hutolewa bure kama ofa (tangu mwanzoni mwa mwezi Aprili), unaponunua kitabu kingine chochote miongoni mwa vile vitabu saba (7) vilivyopo HAPA; vyenye maarifa kuhusu sehemu nyingine ya uchumi uliopo WhatsApp.
Kitabu hiki kinapouzwa pekee yake huuzwa kwa bei hii ya TSH 1,000 (elfu moja). Kipo katika fomati ya PDF; ukilipia kwenda namba 0763 258 095—Emmanuel Kimanisha, kitabu hiki kinatumwa inbox kwako, WhatsApp.
_________
Ufafanuzi Wa Utangulizi [Kwa Ufupi] Kuhusu Yaliyomo Kwenye Kitabu Hiki.
Baada ya kusoma kitabu hiki;
• Utafahamu huduma rahisi unazoweza kutoa mtandaoni—kwa urahisi kupitia WhatsApp—kwa kutumia simujanja (smartphone) yako tu.
• Utaweza kutumia mtaji na rasilimali zinazopatikana kwa urahisi katika kuanzisha huduma hizi. Mtaji na rasilimali rahisi zinazoelezewa hapa ni:
✓ Uwanja wa wateja: watu wengi waliopo WhatsApp✓ Kifurushi cha intaneti.✓ Simujanja (Smartphone).✓ Sehemu ya muda wa kuwepo mtandaoni.✓ Apps za kufanikisha kazi husika.
• Utafanya biashara nyingine nzuri ndogondogo za bila kukutana ana kwa ana [kwa muda wa ziada]— unazoweza kuanzisha na kupata wateja wa uhakika kupitia whatsapp.
_____________
UNAWEZA KUKIPATA LEO, WAKATI HUU INBOX, KWA KUINGIA INBOX KWETU HAPA [INBOX DOOR].
_________________
Comments
Post a Comment