Skip to main content

WhatsApp Enhanced Economy School.

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 2,500/-[PDF].
————
YALIYOMO: (3).
1. ORODHA FUPI YA VITABU VITATU (3) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA.

2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 

3. MATANGAZO YETU MENGINE.

____________ 

1. ORODHA FUPI YA VITABU VITATU (3) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA.

№1. Kutengeneza Graphics Kwa Smartphone Na Kuziuza Kwa Wahitaji (Wateja) Wake Waliopo Whatsapp.

№2. Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp.

№3. Unavyoweza Kuuza Maandishi Yako Mtandaoni.

————————— 

2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU.

№1: SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI: Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha.
Mara nyingi watu wanapenda kila wanapoanza kitu, wafikie kwenye hatua ya juu ndani ya muda mfupi. Pia uhalisia wa wazo hilo huvunja mioyo ya watu wengi, linapoangaliwa kwa kina.

Ungependa kupata maarifa yatakayokupa uwezo wa kuanza kubuni (design), kutengeneza na kuuza graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu na logo rahisi—kwa smartphone kupitia WhatsApp? Ikiwa jibu lako ni ndiyo, basi ni furaha kubwa leo utapata kitabu; kinachokupa maarifa rahisi ya namna nzuri ya kuanza kuitumia smartphone yako kutengeneza graphics na kuwahudumia wahitaji/wateja wake waliopo WhatsApp.

Utapata pia mwongozo wa App nzuri rahisi kuitumia kwenye smartphone kufanikisha hilo. Ndani ya kitabu, maelekezo yameambatanishwa na picha (screenshot) za hatua zote muhimu.

Wateja wako wanapatikana WhatsApp, wao hutuma maelekezo na picha zao kwa WhatsApp au e-mail. Pia watazipata kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy) kama: PDF & picha—kwa e-mail au WhatsApp. Wao watakulipa kwa mobile money kama M-pesa, halopesa, Tigo pesa, T-Pesa n.k (ikiwa wapo Tanzania) na utatakiwa kutumia link ya kupokelea malipo kwa intaneti (ikiwa wapo nchi nyingine za nje).

FOMATI YA KITABU: PDF.
BEI YA SASA: TSH 2,500/-
UPATIKANAJI:  (WhatsApp) [HAPA]./e-mail.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE: Kikundi cha WhatsApp [Simple Online Income Skills].
——————
№2: KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP: utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa.
Tulipogundua njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, jambo lililoonekana kusababisha matokeo mazuri sana, ni utumiaji wa lebo maalum kusevu namba hizo.

Kwa mfano, tunaweza kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku kwa ajili yako. Pia katika kitabu hiki utafundishwa jinsi ya kufanya hivyo mwenyewe. Kuna namna jambo hili linakwenda kukusaidia kufikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi.

Tunaposema lebo maalum, tunamaanisha nini? Na kwa nini utumiaji wa lebo maalum umesababisha upatikanaji wa matokeo mazuri sana? 
Lebo maalum zinakuwa hivi; tuchukulie mfano huu: unataka kusevu namba 200, kwenye kikundi cha whatsapp kinachoitwa BIASHARA YA SIMU NA KOMPYUTA. Watu wote (200) wa kikundi hicho, kwa mfumo wetu, watakuwa saved kwa jina la kifupisho cha kikundi hicho yaani BISIKO au BSK. Baada ya kusevu; namba ya mtu wa kwanza itaonekena kama BISIKO 1, wa pili kama BISIKO 2, wa tatu kama BISIKO 3...zitaenda hivi hadi wa mwisho (wa 200) kama BISIKO 200.

Kwenye kitabu kuna maelekezo jinsi ambavyo lebo hizi zinaleta matokeo mazuri kwenye maeneo makuu manne:
1. Kurahisisha zoezi la ku-foward tangazo au ujumbe wako kwenda kwa watu wengi wenye lebo moja, ndani ya dakika chache.
2. Kutumia mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi.
3. Urahisi wa kupata watakaokuwa watazamaji wa status zako—ndani ya muda mfupi.
4. Urahisi wa kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.

 FOMATI YA KITABU: PDF.

BEI YA SASA: TSH 2,500/-
UPATIKANAJI:  (WhatsApp) [HAPA]./e-mail.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE: Kikundi cha WhatsApp [Simple Online Income Skills].

——————— 

№3: UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI: Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni.
Ukiwa na shauku ya kuandika na kuuza maandishi yako mtandaoni, siyo lazima usubiri hadi ujikamilishe kwenye vitu vingi. Mwingine wanasubiri mpaka apate kompyuta mpakato (laptop) au nyingine kubwa, ajifunze muda mrefu kuhusu Microsoft Word Office na mengine mengi. Lakini siyo lazima mpaka ufanye hivyo ndipo uanze kuuza maandishi yako mtandaoni. Uwezo mwingine hutokea na kuongeza ukiwa njiani kufanya kitu. Kiasi kwamba, kama haujaingia kufanya jambo moja kwa moja, hauwezi kupata mafunuo au uwezo huo.  

Mimi nilipoanza, nilitumia simujanja (smartphone) yangu tu, kwa ku-install Apps tatu (3) ambazo nilijifunza namna nzuri ya kuzitumia mwenyewe, na kuanza kupata dokumenti nzuri sana—ndani ya muda mfupi.
Apps hizo ni:
• Microsoft Word Office ( for Android)
• WPS
• Diary.
Nilitengeneza dokumenti nzurí fupi fupi, ambazo nilizitangaza kupitia WhatsApp kwa kuweka makava ya vitabu kwenye blogu rahisi ya bure—(unayoweza kuifungua mwenyewe ndani ya dakika chache) kwenye jukwaa la blogspot. Link ya posti husika niliituma kwa watu na vikundi vya WhatsApp. Nilianza kupata wateja, na niliuza kwa bei ndogo za rejareja sana.
Wateja wangu niliwaambia wanilipe kwa M-pesa, kisha mimi kuwatumia PDF hizo inbox kwa WhatsApp au e-mail.

Kitabu hiki kitakupa mwongozo mzuri wa kuanzia popote ulipo. Ukiwa na smartphone tu, kifurushi cha intaneti na muda wako fulani maalum wa kuwepo mtandaoni; hakuna litakaloshindikana hata kidogo.

FOMATI YA KITABU: PDF.
BEI YA SASA: TSH 2,500/-
UPATIKANAJI:  (WhatsApp) [HAPA]./e-mail.
MAHALI PA KUWASILISHA CHANGAMOTO YAKO YOYOTE: Kikundi cha WhatsApp [Simple Online Income Skills].
—————————
___________
MATANGAZO YETU MENGINE:
——————————
Karibu Emmanuel Online Working Gadgets, utapata huduma na programu za maarifa ya namna nyingine za kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp. Fika kwa kufungua HAPA [CLICK HERE], au gusa picha kubwa iliyopo hapa chini.





Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...