SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP: utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa.
____________
Tulipogundua njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp ndani ya muda mfupi, jambo lililoonekana kusababisha matokeo mazuri sana, ni utumiaji wa lebo maalum kusevu namba hizo.
Kwa mfano, tunaweza kusevu namba 300 hadi 500 kwa siku kwa ajili yako. Pia katika kitabu hiki utafundishwa jinsi ya kufanya hivyo mwenyewe. Kuna namna jambo hili linakwenda kukusaidia kufikia watu wengi waliopo WhatsApp, ndani ya muda mfupi.
Tunaposema lebo maalum, tunamaanisha nini? Na kwa nini utumiaji wa lebo maalum umesababisha upatikanaji wa matokeo mazuri sana?
Lebo maalum zinakuwa hivi; tuchukulie mfano huu: unataka kusevu namba 200, kwenye kikundi cha whatsapp kinachoitwa BIASHARA YA SIMU NA KOMPYUTA. Watu wote (200) wa kikundi hicho, kwa mfumo wetu, watakuwa saved kwa jina la kifupisho cha kikundi hicho yaani BISIKO au BSK. Baada ya kusevu; namba ya mtu wa kwanza itaonekena kama BISIKO 1, wa pili kama BISIKO 2, wa tatu kama BISIKO 3...zitaenda hivi hadi wa mwisho (wa 200) kama BISIKO 200.
Unafanya hivyo kwa vikundi mbalimbali unavyoamua kukusanya na kuhifadhi (save) namba za washirika wake wote—ndani ya muda mfupi sana. Hakuna kikomo. WhatsApp ina mamilioni ya watu. Ni wewe tu kuamua unataka ufikishe watu wangapi, ndani ya muda gani.
Kwenye kitabu kuna maelekezo jinsi ambavyo lebo hizi zinaleta matokeo mazuri kwenye maeneo makuu manne:
1. Kurahisisha zoezi la ku-foward tangazo au ujumbe wako kwenda kwa watu wengi wenye lebo moja, ndani ya dakika chache.
2. Kutumia mbinu ya P2P Sales Prospecting—kwa namba nyingi.
3. Urahisi wa kupata watakaokuwa watazamaji wa status zako—ndani ya muda mfupi.4. Urahisi wa kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
Fomati ya kitabu: PDF.
Bei ya sasa: Tsh 4,500 (KITABU [PDF])
TSH 9,000 (KATIBU & AUDIO)
TSH 12,000 (Kitabu, audio na kuwepo kwenye kikundi cha whatsapp (Maximum Sale Via WhatsApp); darasa la maelekezo ya moja kwa moja)
Upatikanaji: WhatsApp/e-mail.
Idadi ya kurasa: 31
Mawasiliano ya muuzaji: 0743517138/WhatsApp.
________
MATANGAZO MENGINE:
FIKA Emmanuel Online Working Gadgets, kwa kufungua [HAPA][CLICK HERE] au picha kubwa iliyopo hapo chini.
—Utafurahia sana maarifa na programu za kukupa taswira nyingine ya kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp.
Karibu sana.
Comments
Post a Comment