Jambo kubwa linalotuzuia katika kuyafikia mambo yaliyo ndani ya uwezo wetu [kwa wakati] ni ile hali ya kukosa maarifa fulani sahihi juu ya jambo husika.
Ikiwa tayari tuna maarifa sahihi, basi kushindwa kwetu kunatokana na hali ya kukosa ufahamu (uwezo wa kuyaelewa maarifa hayo ipasavyo).
Ikiwa tayari tuna maarifa na ufahamu, basi kushindwa kwetu kunatokana na hali ya kukosa hekima (uwezo wa kuyatumia kwa usahihi); katika mazingira sahihi, wakati sahihi na kwa watu sahihi.
Lakini kuna namna MUNGU anaweza kutupatia maarifa, ufahamu na hekima. Kwa namna gani? Kwa kutupatia nafasi na mazingira yenye taarifa sahihi (maarifa), kutupatia uwezo wa kuyaelewa (ufahamu), vilevile uwezo wa kuyatumia maarifa hayo ipasavyo (hekima). Asante.
_____________________
MATANGAZO:
--------------------
Karibu kwenye Maktaba Ndogo Ya Mtandaoni (vitabu (PDF), graphics, audio & video fupi fupi) mahali ambapo kwa sasa:
1. Unaweza kupata vitabu [softcopy] (Tsh 1,500-2,500) vyenye maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp.
2. Unaweza kupata huduma za kutengenezewa graphics unazohitaji kwa wakati:
~• Poster, bango, vipeperushi, kalenda yenye picha zako, business card, lebo za bidhaa, nembo/logo, kava la kitabu, documentary, food menu, vyeti, company profile na video fupi fupi za matangazo ya biashara —kwa kuweka picha za biashara yako (short image-based advertisment video clip).
3. Darasa la kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone na kuwahudumia wahitaji waliopo WhatsApp.
4. Darasa la namna nyingine nzuri ya kuwafikia watu wapya 1,000 inbox, kila baada ya siku 14.
• Hii ni kwa wale wanaohitaji kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp ndani ya muda mfupi, ili wafahamu uwepo wa huduma au biashara zao.
__________________
ILI KUANGALIA ZAIDI KUHUSU:
1. Kupata vitabu (PDF) (Tsh 1,500-2,500); Fungua HAPA.
2. Huduma za kutengenezewa graphics; Fungua HAPA.
3. Darasa la kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone; Fungua HAPA.
4. Jinsi ya kuwafikia watu wapya 1,000 inbox, kila baada ya siku 14; Fungua HAPA.
__________________
PICHA (4) ZILIZOAMBATANISHWA:
-----------------------------
IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, UNAWEZA KUULIZA LOLOTE INBOX KWANGU, KWA KUJA MOJA KWA MOJA KUPITIA LINK HII>>>>https://wa.me/255738609426
Comments
Post a Comment