Karibu kwenye Maktaba Ndogo Ya Mtandaoni (kwa ajili ya vitabu (PDF), graphics, audio & video fupi fupi) mahali ambapo kwa sasa unaweza kufanikisha mambo manne (4):
1. Unaweza kupata vitabu vidogo vidogo [softcopy] (kwa Tsh 1,500-2,500) vyenye maarifa kwa ajili ya kuendelea kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp.
2. Unaweza kupata huduma za kutengenezewa graphics unazohitaji kwa wakati:
~• Poster, bango, vipeperushi, kalenda yenye picha zako, business card, lebo za bidhaa, nembo/logo, kava la kitabu, documentary, food menu, vyeti, company profile na video fupi fupi za matangazo ya biashara —kwa kuweka picha za biashara yako (short image-based advertisment video clip).
3. Darasa la kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone na kuwahudumia wahitaji waliopo WhatsApp.
4. Darasa la namna nyingine nzuri ya kuwafikia watu wapya 1,000 inbox, kila baada ya siku 14.
• Hii ni kwa wale wanaohitaji kuwafikia watu wengi waliopo WhatsApp ndani ya muda mfupi, ili wafahamu uwepo wa huduma au biashara zao.
__________________
ILI KUANGALIA ZAIDI KUHUSU:
1. Kupata vitabu (PDF) (Tsh 1,500-2,500); Fungua HAPA.
2. Huduma za kutengenezewa graphics; Fungua HAPA.
3. Darasa la kutengeneza graphics nzuri kwa smartphone; Fungua HAPA.
4. Jinsi ya kuwafikia watu wapya 1,000 inbox, kila baada ya siku 14; Fungua HAPA.
__________________
PICHA (4) ZILIZOAMBATANISHWA:
-----------------------------
IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU UNAWEZA KUULIZA LOLOTE INBOX, KWA KUJA MOJA KWA MOJA KUPITIA LINK HII>>>https://wa.me/255738609426
Comments
Post a Comment