Naamini umefika hapa kwenye posti hii, kwa kuwa unayo biashara au unatoa huduma ambayo wahitaji (wateja) wengine [wengi] wapo WhatsApp; na ungependa kuwa miongoni mwa watu wanaonufaika na uwepo wa mamilioni ya watu, WhatsApp.
________
Wateja wako ni wengi sana, wengine bado haujawafikia wala kuwatambua. WhatsApp ina mamilioni ya watu. Miongoni mwao kuna watu ambao wangekuwa wateja wako wa uhakika, siku zilizopita; vilevile kuna wateja wengi wa sasa na kuna wengine wanaotakiwa kuandaliwa kwa ajili ya kutengeneza uhakika mkubwa, wa wao kununua kwako—siku zijazo. Kwa sababu hiyo, programu hii: 'Namna nyingine nzuri ya KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP' ina mchango mkubwa wa kukuongezea mwendo na hatua za kukufikisha mbali zaidi.
Jambo muhimu na linalowezekana mno, hivi sasa ni kuwafikia watu wengi kupitia WhatsApp; ili wafahamu uwepo wa bidhaa, huduma au biashara yako. Katika maarifa haya, utaweza kufanikisha mambo makuu matano (5):
- Kuwa na uwezo wa kusevu namba zote za washirika wote wa vikundi vyote vya whatsapp unavyojiunga. Utafundishwa namna ya kusevu namba nyingi (zilizopo WhatsApp) ndani ya muda mfupi.
- Kuwafikia watu wengi inbox, kwa miguso na vitendo rahisi; ndani ya muda mfupi, kuwatambua wateja wa sasa na kuandaa wateja tarajiwa.
- Kutumia njia mpya ya ku-foward tangazo lako, kwenda namba nyingi ulizosevu kwa mfumo wetu.
- Kutumia njia nyingine nzuri na rahisi ya kuwa na watazamaji wengi wa status zako (hususan zile za matangazo ya biashara au huduma) ndani ya muda mfupi; kwa kutumia namba zinazotunzwa (saved) kwa mfumo wetu.
- Kuwa na mkakati halisi unaopimika na kuboreshwa kwa urahisi; katika kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa, wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
BEI YA KUJIFUNZA MAARIFA HAYA.
Tsh 4,500: Kitabu (PDF) pekee.
Tsh 9,000: Kitabu (PDF) na Audio za vipengele vyote.
Tsh 12,000: Kitabu (PDF), Audio za vipengele vyote na kuwepo kwenye kikundi cha WhatsApp [Maximum Sale Via WhatsApp], bila ukomo wa muda.
———————
Kuna dokumenti yetu (PDF) fupi, ya ufafanuzi wa utangulizi, inapatikana BURE kwa WhatsApp; kwa kuipakua HAPA [Download.pdf]. Inakupa maelekezo muhimu (ya utangulizi) kuhusu programu hii. karibu sana. Uwe huru pia kuuliza lolote (0743517138) kuhusu programu hii.
_______________
Comments
Post a Comment