Baada ya kupata njia mpya rahisi ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi za watumiaji wa WhatsApp, katika kila kikundi cha whatsapp; Emmanuel Online Working Gadgets, tumependa pia kuwafikia watu wengi ndani ya muda mfupi, ili tuweze kushirikiana nao katika mambo (3) yafuatayo:
№1. Kuwashirikisha maarifa; namna na njia mpya ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp—kwa kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi [ndani ya muda mfupi]. Vilevile kwa kuelekeza njia mpya za:
• Kuongeza watazamaji wengi wa status ndani ya muda mfupi.• Ku-foward tangazo/ujumbe kwenda namba nyingi zilizohifadhiwa (saved) kwa njia yetu.• Kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.Kama ilivyoonyeshwa HAPA (CLICK HERE).
№2. Kuwahudumia katika:
• Kuwatengenezea graphics kama: posters, flyers, business card (softcopy), kalenda zenye picha za mteja, video fupi fupi za matangazo—kwa picha za mhitaji wa video hiyo, logo, lebo na nyingine nyingi.Kama ilivyoonyeshwa HAPA (CLICK HERE).
№3. Kushirikisha maarifa rahisi ya kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp, katika fomati za vitabu (PDF) na audio zilizorekodiwa (mp3); na kwa kuunganishwa kwenye vikundi husika vya whatsapp.
Kama ilivyoonyeshwa HAPA (CLICK HERE).
• Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni [open].• Upatikanaji mwingine wa wateja kupitia WhatsApp [open].• Kipato kwa kutumia smartphone na Whatsapp [open].
Karibu sana.
Unaweza kuuliza lolote (0743 517 138) kuhusu hayo uliyoyaona hapo. Asante.
____________
ENEO LA MATANGAZO MENGINE (GUSA TANGAZO HUSIKA—KUANGALIA ZAIDI)
Comments
Post a Comment