SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI: Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha.
Mara nyingi watu wanapenda kila wanapoanza kitu, wafikie kwenye hatua ya juu ndani ya muda mfupi. Pia uhalisia wa wazo hilo huvunja mioyo ya watu wengi, linapoangaliwa kwa kina. Kila kitu hufanyika vizuri, kikifanyika kwa hatua. Unaweza kuanza kufanya ubunifu kwa kutumia smartphone, ili kuwa uzoefu mzuri utakaowezesha kukusaidia kuingia kwenye programu tata; kama Adobe Photoshop na nyinginezo.
Ungependa kupata maarifa yatakayokupa uwezo wa kuanza kubuni (design), kutengeneza na kuuza graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu na logo rahisi—kwa smartphone kupitia WhatsApp? Ikiwa jibu lako ni ndiyo, basi ni furaha kubwa leo utapata kitabu; kinachokupa maarifa rahisi ya namna nzuri ya kuanza kuitumia smartphone yako kutengeneza graphics na kuwahudumia wahitaji/wateja wake waliopo WhatsApp.
Utapata pia mwongozo wa App nzuri rahisi kuitumia kwenye smartphone kufanikisha hilo. Ndani ya kitabu, maelekezo yameambatanishwa na picha (screenshot) za hatua zote muhimu.
Wateja wako wanapatikana WhatsApp, wao hutuma maelekezo na picha zao kwa WhatsApp au e-mail. Pia watazipata kazi zao katika fomati za kielektroniki (softcopy) kama: PDF & picha—kwa e-mail au WhatsApp. Wao watakulipa kwa mobile money kama M-pesa, halopesa, Tigo pesa, T-Pesa n.k (ikiwa wapo Tanzania) na utatakiwa kutumia link ya kupokelea malipo kwa intaneti (ikiwa wapo nchi nyingine za nje).
Fomati ya kitabu: PDF & audio nne
Bei ya sasa (kwa punguzo): Tsh 2,500 (malipo kwa M-pesa)
Upatikanaji: WhatsApp/e-mail.
Idadi ya kurasa: 31 nyingine zikiwa na picha (screenshot) za kuambatisha na maelekezo ya hatua muhimu.
Mawasiliano ya muuzaji: 0743 517 138/WhatsApp.
Utapata mwongozo wa kuipata App inayokufaa kuitumia kwenye smartphone—katika kudizaini.
________
PROGRAMU NYINGINE ZA MAARIFA; katika PDF na audio zilizorekodiwa:
Comments
Post a Comment