Skip to main content

NIMEPENDA TUFAHAMIANE KWA SABABU HII.

Rafiki, wewe ni mtu muhimu sana kwenye maisha! Ndiyo maana nimependa mno kufahamiana zaidi na watu kama wewe—hata tukiwa mtandaoni. Naitwa EMMANUEL KIMANISHA, napatikana Dodoma.  

Nimekuwa nikifanya hivyo, tangu nilipotambua kuwa sisi binadamu tunahitajiana sana katika biashara, huduma na katika mambo mengine mengi—kwenye maisha.

Kwa kufanya hivi, nimepata fursa nzuri za kushirikishana maarifa na taarifa nzuri za kuboresha vile tunavyoishi; kwenye huduma, biashara na shughuli tofauti tofauti za uzalishaji. Ukipata nafasi ya dakika moja, njoo inbox kwangu WhatsApp, unitajie walau jina lako tu; ili mimi pia nisevu namba yako. Asante sana.

Kuingia Inbox kwangu moja kwa moja, wakati huu GUSA HAPA [INBOX DOOR].

_______

UBAO WA MATANGAZO:

—fungua kwa kugusa (click) tangazo husika, kuangalia zaidi.







_________

1. Tengeneza na kuuza graphics kwa smartphone [open]

2. Unawezaje kunufaika zaidi kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp? [open]

3. Pata kalenda yenye picha zako leo [open]

4. Kwa nini niliwafuata watu 10,000 inbox—kwa WhatsApp? [open]

5. Unataka kufanikisha jambo gani leo? [open]

6. Andaa na kupata wateja waliopoWhatsApp kwa namna hii [open]

7. Inawezekanaje kuingiza kipato kwa smartphone na whatsapp tu? [open]




Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...