Tangu mwaka 2019, nilipopata njia mpya ya kuhifadhi (save) namba nyingi za WhatsApp; ndani ya muda mfupi, nilianza kuwafuata watu inbox.
Lengo lilikuwa ni kuwaleta kwenye mambo makuu mawili; ambayo picha zake nne zimewekwa hapa chini.
_______
PICHA: 1&2 [Maarifa], 3&4 [Huduma za ubunifu wa graphics].
_______________
Yaani:
№1. Maarifa ya namna nyingine za kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp [picha mbili zipo hapo chini]
№2. Kuwahudumia watu wengi waliopo WhatsApp; wanapohitaji KUTENGENEZEWA GRAPHIC YOYOTE miongoni mwa hizo zilizoonyeshwa kwenye picha hapo chini—kwa kushirikiana na wabunifu wazuri wa graphics mbambali.
@@——@@
____________________________
Unaweza kufahamu zaidi kuhusu jambo lolote miongoni mwa haya, kwa kuingia inbox kwangu [WhatsApp] moja kwa moja; kwa kufungua HAPA [CLICK HERE].
Comments
Post a Comment