Katika kupata maarifa rahisi ya kukunufaisha vizuri kiuchumi/kibiashara; leo nakukaribisha kwenye programu mbili za maarifa.
Tutashirikiana na wewe vizuri, unaposhirikishwa maarifa haya. Tutatumia audio zilizorekodiwa, maelekezo ya moja kwa moja kwenye kikundi husika cha WhatsApp na kwa kukupatia kitabu (PDF).
Maarifa haya ni:
№1: Maarifa rahisi ya kufanya ubunifu/kutengeneza graphics kwa kutumia smartphone, na kuziuza kwa kuwahudumia wateja (wahitaji) wake—wanaopatikana WhatsApp.
№2. Maarifa ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp—kwa biashara au bidhaa ambazo wateja wake wengine wanatafutwa kupitia WhatsApp.
UFAFANUZI WA UTANGULIZI KUHUSU PROGRAMU HIZI (2) ZA MAARIFA [KWA UFUPI]
1. Ubunifu/Utengenezaji wa Graphics kwa Kutumia Simujanja (Smartphone).
—••—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine.
—••—Kwa ubunifu huo, utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics wanaopatikana kwa wingi kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 3,500; kitabu (PDF), audio zote & mwongozo wa kuipata App inayokufaa.
TSH 5,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Simplified Graphic Designing]
—ILI KUPATA MAARIFA HAYA, KWA MPANGILIO MOJAWAPO WA BEI TAJWA HAPO JUU; TOA TAARIFA INBOX KWANGU KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
_______________
_______________
2. Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp.
—••—Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga.
—••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako.
—••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum.
—••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 4,500; kitabu (PDF) pekee.
TSH 9,000; kitabu (PDF) & audio zote.
TSH 12,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp].
—ILI KUPATA MAARIFA HAYA, KWA MPANGILIO MOJAWAPO WA BEI TAJWA HAPO JUU; TOA TAARIFA INBOX KWANGU KWA KUFUNGUA HAPA [INBOX DOOR].
MATANGAZO MENGINE; Gusa kwa kufungua [CLICK] picha husika, kuangalia zaidi.
• UNAHITAJI KUTENGENEZEWA GRAPHIC YOYOTE LEO? [ANGALIA HAPA].
Comments
Post a Comment