EMMANUEL ONLINE WORKING GADGETS.
MAARIFA RAHISI YA NAMNA NYINGINE 3 ZA KUNUFAIKA KIUCHUMI KUPITIA WHATSAPP.
YALIYOMO:
(A) UTANGULIZI (KWA UFUPI)(B) MAKUNDI MATATU YA WATU WANAOWEZA KUNUFAIKA NA MAARIFA HAYA.(C) UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI):
____________
(A) UTANGULIZI
Katika kuleta majibu ya swali letu: Unanufaika vipi kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp? Au ni mambo gani yanayokusaidia kunufaika kiuchumi/kibiashara kupitia WhatsApp? Kuna majibu yaliyo katika fomati za audio na vitabu vya PDF; vinavyopatikana kupitia WhatsApp—popote ulipo.
____________
(B) MAKUNDI MATATU YA WATU WANAOWEZA KUNUFAIKA NA MAARIFA HAYA.
Kuna makundi matatu ya watu yanayozingatiwa katika kupata maarifa haya (wanufaika):
1. Watu ambao hawana bidhaa/biashara yoyote kupitia WhatsApp; na wanataka kuwa na jambo rahisi la kuanza nalo.2. Watu ambao tayari wana biashara/bidhaa/huduma ambazo wateja wengine wanatafutwa kupitia WhatsApp; wanahitaji kuongeza upatikanaji wa wateja wa uhakika kupitia WhatsApp.3. Watu ambao wanatengeneza na kuuza bidhaa za kidigitali (Digital/Downloadable Products) [huduma na biashara zisizohusisha ulazima wa kukutana ana kwa ana]; wanahitaji kuongeza maarifa ya kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp na smartphone tu.
____________
Ninatumia vitabu rahisi vya PDF, audio zilizorekodiwa( mp3) na kwa kuunganishwa kwenye vikundi vya WhatsApp [kwa baadhi ya programu]. Maarifa utakayopata ni:
• Ubunifu wenye soko mtandaoni (WhatsApp) kwa smartphone.• Namna nyingine ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.• Kuingiza kipato kwa smartphone na Whatsapp.
_____________________
(C) UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI):
1. Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni (WhatsApp) Kwa Smartphone.
—••—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine.—••—Kwa ubunifu huo, utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics wanaopatikana kwa wingi kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 3,500; kitabu (PDF), audio zote & mwongozo wa kuipata App inayokufaa.
TSH 5,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp.
_______________
_______________
2. Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp.
—••—Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga.—••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako.—••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum.—••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 4,500; kitabu (PDF) pekee.
TSH 9,000; kitabu (PDF) & audio zote.
TSH 12,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp].
_______________
_______________
3. Kuingiza Kipato Kwa Smartphone Na Whatsapp.
—••—Hapa utajifunza namna nyingine ya kutumia sehemu ya muda na kifurushi chako cha intaneti, kufanya mambo rahisi ambayo yana wateja wengi wanaopakana WhatsApp—kwenye smartphone yako.—••—Utajifunza kuwa; kuna Apps zinazoweza kukusaidia kufanikisha kazi mbalimbali kwenye smartphone yako; ili kuingiza sehemu nzuri ya kipato chako kwa rasilimali rahisi: smartphone, WhatsApp, sehemu ya muda na kifurushi cha intaneti & Apps za kazi maalumu.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 2,500; kitabu (PDF) & audio.
Karibu sana rafiki (0743 517 138).
Comments
Post a Comment