Rafiki, ukiwa popote kupitia intaneti unaweza kupata huduma tatu (3) nitakazozitaja hapa.
Vilevile kuna maarifa ya kunufaika kiuchumi kupitia WhatsApp (programu tatu). Tumeweka maarifa haya kwenye audio zilizorekodiwa (mp3), vitabu vya PDF na maelekezo ya moja kwa moja kwenye vikundi husika vya whatsapp.
YALIYOMO KWENYE POSTI HII:
1. HUDUMA ZETU ZA UBUNIFU.
2. PROGRAMU ZETU ZA MAARIFA.
3. UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI).
____________
1. HUDUMA ZETU ZA UBUNIFU:
Utengenezaji wa graphics mbambali kulingana na hitaji lako: posters/flyers, business card (softcopy), logo (nembo), kalenda yenye picha zako, bronchure, certificates, documentary, food menu, company profile, na video fupi fupi za matangazo yako kwa kutumia picha zako na audio yetu—yenye maelezo yako [Angalia HAPA].
Tunatumia vikundi vya WhatsApp na kwa kukupatia vitabu vya PDF na audio zilizorekodiwa. Maarifa utakayopata ni:
• Ubunifu wenye soko mtandaoni (WhatsApp) kwa smartphone.• Namna nyingine ya kuongeza upatikanaji wa wateja kupitia WhatsApp.• Kuingiza kipato kwa smartphone na Whatsapp.
_____________________
3. UFAFANUZI WA KILA PROGRAMU YA MAARIFA (KWA UFUPI):
1. Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni (WhatsApp) Kwa Smartphone.
—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine.—Kwa ubunifu huo, utaweza kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics wanaopatikana kwa wingi kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 3,500; kitabu (PDF), audio zote & mwongozo wa kuipata App inayokufaa.
TSH 5,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp.
_______________
2. Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp.
—Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga.—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako.—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum.—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 4,500; kitabu (PDF) pekee.
TSH 9,000; kitabu (PDF) & audio zote.
TSH 12,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp].
_____________
3. Kuingiza Kipato Kwa Smartphone Na Whatsapp.
—Hapa utajifunza namna nyingine ya kutumia sehemu ya muda na kifurushi chako cha intaneti, kufanya mambo rahisi ambayo yana wateja wengi wanaopakana WhatsApp—kwenye smartphone yako.—Utajifunza kuwa; kuna Apps zinazoweza kukusaidia kufanikisha kazi mbalimbali kwenye smartphone yako; ili kuingiza sehemu nzuri ya kipato chako kwa rasilimali rahisi: smartphone, WhatsApp, sehemu ya muda na kifurushi cha intaneti & Apps za kazi maalumu.
BEI YA MAFUNZO:
TSH 2,500; kitabu (PDF) & audio.
Karibu sana rafiki (0743 517 138).
_________________
Comments
Post a Comment