Leo, ukiwa popote kupitia WhatsApp, utaweza kuipata kalenda [2021] nzuri yenye picha zako; kwa bei nafuu sana, yaani Tsh 1,400 badala ya Tsh 2,500. Ofa hii ni ndani ya masaa 24 tu.
Tuma picha yako moja au mbili (kwa e-mail/WhatsApp) unazotaka ziwepo kwenye kalenda hiyo. Pia unaweza kuniambia maneno (maandishi) unayotaka yawepo.
Utaiprint kwenye ukubwa unayohitaji, huko uliko; popote wanapo-print (stationery/studio ya picha).
Njoo Inbox kwangu kwa kufungua HAPA (CLICK HERE).
Comments
Post a Comment