Haya ni maswali ambayo watu wengi wanaotumia WhatsApp, walikuwa nayo. Kwa sababu hiyo, niliamua kuyafuatilia na kutafuta majibu yake.
Nimetafuta maarifa ya kujibu maswali haya na kuyaweka kwenye audio na vitabu vya PDF; vilevile kuna vikundi vya WhatsApp—kwa ajili ya maelekezo ya kujibu changamoto zako.
Hivyo basi, nitakupeleka kule ambako majibu ya kila swali yapo kwa ukamilifu.
Kuhusu maarifa yenye majibu ya swali namba moja (#1), angalia HAPA (CLICK HERE).
Kuhusu maarifa yenye majibu ya swali namba mbili (#2), angalia (HAPA CLICK HERE)
_____________________
MATANGAZO MENGINEYO:
Comments
Post a Comment