Ubunifu Wenye Soko Mtandaoni (WhatsApp) Kwa Smartphone.
—••—Hapa utajifunza namna ya kutengeneza graphics nzuri kwa kutumia smartphone. Graphics kama posters, flyers, kalenda, business card (softcopy), logo rahisi, makava rahisi ya vitabu na graphics nyingine.
—••—Sambamba na ubunifu huo, utajifunza pia namna ya kupata na kuwahudumia wahitaji (wateja) wa graphics hizo, wanaopatikana WhatsApp.
BEI YA KUJIFUNZA:
TSH 3,500; kitabu (PDF), audio zote & mwongozo wa kuipata App inayokufaa.
TSH 5,000; vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Simplified Graphic Designing].
Karibu sana rafiki. Unaweza pia kuuliza lolote kuhusu jambo hili kwenda namba:0743 517 138.
_______________
_______________
Comments
Post a Comment