Rafiki, bila shaka unafahamu kuwa WhatsApp ina mamilioni ya watu. Dunia nzima inakadiriwa kuwa na watumiaji takribani bilioni mbili. Katika mabara na nchi mbalimbali duniani, maelfu ya watu wanatumia WhatsApp. Wengi miongoni mwa watu hawa wapo kwenye vikundi mbalimbali vya whatsapp; mahali ambapo hata mimi na wewe tunaweza kuwepo.
Swali muhimu ambalo watu wengi bado hawajafahamu kuwa majibu yake yapo, kwa wakati huu, ni hili: tunaweza vipi kunufaika zaidi kiuchumi/kibiashara na uwepo wa watu wengi tulionao kwenye WhatsApp?
Kuna namna nzuri ya kuwafikia watu wengi—kupitia WhatsApp; kwa mguso wa karibu. Mbinu na njia hizi mpya zinakupa uwezo mzuri wa kutengeneza uhakika mkubwa wa wateja; kwa huduma au biashara yako yoyote. Hii ni kwa sababu, unaweza kuandaa wateja wako wa siku sijazo kwanzia leo. Vilevile unaweza kuandaa wateja wako wa siku ya leo (baadaye), kesho, kesho kutwa na siku zinazoendelea.
Ukikubali kutumia njia yetu mpya ya kukusanya na kusevu namba za washirika wote wa vikundi vyote vya whatsapp unavyojiunga, na baadhi ya vile usivyokuwemo ndani yake; utaweza kutengeneza uhakika mkubwa wa wateja.
Kwa mfano, kwa njia yetu ya EO Gadgets 77, unaweza kukusanya na kusevu namba za watu 300 hadi 500 kwa siku. Utajifunza kwa urahisi; njia za kutumia lebo maalum katika kusevu namba nyingi, kwenye vikundi vya WhatsApp.
Kuna mbinu mpya pia ya kuongeza watazamaji wa status zako za biashara au huduma—ndani ya muda mfupi.
Lakini pia kuna njia mpya, ya kuwafikia watu wengi inbox (kwa lebo za namba ulizosevu kwa njia yetu). Na kuna njia mpya pia ya kutumia namba ulizosevu kwa njia yetu, ku-foward tangazo au ujumbe wako; kwa watu wengi sana—ndani ya muda mfupi.
Asante sana kwa kutumia sehemu ya muda wako, kusoma posti hii. Karibu sana kwenye maeneo yetu mengine. Asante!
_______________
Comments
Post a Comment