SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI: Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha . Mara nyingi watu wanapenda kila wanapoanza kitu, wafikie kwenye hatua ya juu ndani ya muda mfupi. Pia uhalisia wa wazo hilo huvunja mioyo ya watu wengi, linapoangaliwa kwa kina. Kila kitu hufanyika vizuri, kikifanyika kwa hatua. Unaweza kuanza kufanya ubunifu kwa kutumia smartphone, ili kuwa uzoefu mzuri utakaowezesha kukusaidia kuingia kwenye programu tata; kama Adobe Photoshop na nyinginezo. Ungependa kupata maarifa yatakayokupa uwezo wa kuanza kubuni (design), kutengeneza na kuuza graphics kama posters, flyers, business card (softcopy), kalenda, makava rahisi ya vitabu na logo rahisi— kwa smartphone kupitia WhatsApp? Ikiwa jibu lako ni ndiyo, basi ni furaha kubwa leo utapata kitabu; kinachokupa maarifa rahisi ya namna nzuri ya kuanza kuitumia smartphone yako kutengeneza graphics na kuwahudumia wahitaji/wateja wake waliopo WhatsApp. Utapata pia mwongozo wa App nzuri rahis...
—working with and on graphics, PDFs, audios and videos.