1. Kutengenezewa kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021 kwa bei nafuu sanà (Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa]).
—Kalenda hii itakuwa na picha zako.
—Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo.
—Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida.
—Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana.
—Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha.
—Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
2. Ninashirikisha maarifa rahisi ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za matangazo ya biashara, kalenda nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio mbalimbali n.k—kwa kutumia App inayofanya kazi vizuri kwenye simujanja (Smartphone)—na kuziuza kwa watu wengi sana wanaozihitaji mtandaoni [hasa kwa wasapu].
Mpangilio wa programu hii, upo HAPA.
Pia unaweza kuomba kuiangalia dokumenti yetu ya utangulizi: inapatikana kwa wasapu bure—kwa kuja HAPA inbox kwangu moja kwa moja. Ili upate ufafanuzi mzuri pia kabla ya kuanza kujifunza.
—Mafunzo yanapatikana kwa bei ya Tshs 4500 tu.
—Katika kukuelekeza unapata kitabu [kwa whatsapp] chenye maelekezo yote, audio za kila kipengele na kukuunganisha kwenye moja ya vikundi vyetu vya whatsapp (Multifarious Knowledge House 04) kwa ajili ya kujibiwa maswali yako moja kwa moja.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
3. Ninakusaidia pia kutengeneza picha zako nzuri za matangazo ya biashara, picha za logo na utambulisho [za Whatsapp, blogu, youtube, instagram], matangazo ya matukio, business cards, makava ya vitabu na nyingine nyingi—kwa bei nafuu sana (Tsh 3500 hadi 15000).
—Mifano kadhaa ya zile nilizotengeneza ipo HAPA. Pia unaweza kuomba kuziangalia nyingine kwa kuja inbox kwangu moja kwa moja—kwa kuingia HAPA.
—Zikitengenezwa zinakufikia kwa Whatsapp au baruapepe, katika fomati za picha au PDF ikiwa unataka kuzichapa—huko uliko.
—Utazipenda na kuzifurahia sana.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
4. Na jambo la mwisho hapa ni Programu yetu nzuri mno; ya kuunganishwa na watu wengi sana waliopo Whatsapp. Ni programu yenye uvumbuzi unaowasaidia watu wengi wanaohitaji kuwafikia watu wengi sana; ndani ya muda mfupi—kupitia Whatsapp. Hasa hasa katika kuongeza upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika kupitia Whatsapp.
Programu ipo HAPA [EOG WHATSAPP CONTACTS COLLECTION]
KUMBUKA: WhatsApp ina mamilioni ya watu wanaopatikana. Wateja wengine wazuri ni wale wanaoandaliwa na wewe—kwa mbinu bora inayoendana na taswira ya wasapu—hivi sasa.
—Dokumenti ya utangulizi ni bure inapatikana pia kwa wasapu—inbox kwangu, kwa kuingia HAPA.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Namba yetu iliyopo Whatsapp: 0743517138.
Au ikiwa upo hewani sasa hivi na unatumia WHATSAPP, unaweza kuja inbox kwangu moja kwa moja; kwa kugusa kwa kufungua HAPA {CLICK}.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
NAHITAJI KUFAHAMIANA NA WEWE PIA KWA NAMNA NZURI NILIYOIANDIKA HAPA [—kwenye maktaba yangu ya mtandaoni, kwa ajili yako wewe uliyefika hapa leo.]
Nitafurahi sana ukitembelea ili tufahamiane kwa namna hiyo.
Comments
Post a Comment