★—★—★—GRAPHICS—MTANDAONI [katika fomati za
picha au PDF].
Rafiki yangu, sijajua kama unafahamu kwamba, hivi sasa hata wewe, unaweza ku-dizaini Graphics (kama vile picha za matangazo, mabango ya kutangaza, picha za logo, makava ya vitabu, [na hizo nilizoziweka ukurasa wa mwisho wa posti hii] na nyingine nyingi, ambazo ni nzuri na rahisi ili kuziuza kwa watu wanaohitaji mtandaoni? kwa urahisi (kama softcopy).
Hivi sasa wateja wengi wa graphics za namna hiyo, wanapatikana kwa urahisi sana kupitia wasapu. Unaamua mwenyewe unataka kuwafikia watu wa aina gani na wa nchi zipi. Idadi ya watu wanaoweza kuwafikia kupitia wasapu haina kikomo.
★—$—Kuna App moja nzuri na rahisi sana kuitumia kutengeneza Graphics nzuri kwa simujanja (smartphone) tu [bila hata kuwa na maarifa ya namna ya kuanza kutumia Adobe Photoshop n.k]. Ni App ambayo ukiipakua kwenye simujanja (Smartphone) yako, hususan zile zinazotumia mfumo wa Android ™ , utaweza kuitumia vizuri kabisa.
★—$—Unaweza kuwatengenezea watu wanaokuhitaji uwatengenezee na kuwatumia katika fomati ya kielektroniki (softcopy) kwa Whatsapp na baruapepe (e-mail) katika hizo fomati za picha au dokumenti za PDF [wanaohitaji kuzichapa (print)] kwenye makaratasi kule waliko.
Wateja wako wanakulipa kwa mobile money [kama M-pesa Halopesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k]. Ikiwa wateja wako wengine ni wale waliopo nchi zingine za nje, wao watakuwa wanakulipa kwa link za kupokelea malipo Mtandaoni [—unazoweza kufungua akaunti kwa PayPal, Payoneer, Clickpesa, Pesapal, DirectPay n.k]
★—$—Unaweza kujitangaza kwa urahisi zaidi kupitia Whatsapp na kwa kujifungulia blogu ndogo, ya gredi ya bure, kwa urahisi [kwa maelekezo tunayoweza kukuelekeza] ili kupakia (Upload) sampuli kadhaa za Graphics zako kwenye posti fupi fupi na rahisi, zionekane kwa wengi mtandaoni.
★—Ninazo hapa audio nne, fupi fupi zilizo katika fomati ya mp3, ambazo ni rahisi sana kuzielewa unapozisikiliza, zinazokupa maarifa na hatua zote muhimu —kwa undani.
Lakini pia ipo link kwa ajili ya kuipakua na ku-install App niliyoielezea mwanzoni, itakayokusaidia kuanza ku-dizaini Graphics nzuri urahisi na kuziuza mtandaoni [kwa maelekezo zaidi utakayozidi kuyapata].
Unaweza kuzipata (audio hizo pamoja na link hiyo) hata sasa kupitia WhatsApp [ni mp3], baada tu ya kulipia shilingi elfu saba (7,000) [bei ya ofa ya muda mfupi] badala ya shilingi elfu kumi na moja (Tsh 11,000) bei ya kawaida— kwenda namba 0743517138. Pia baada tu ya kulipia kiasi hicho na kutumiwa audio za maelekezo hayo utatumiwa na link ya kuipakua App hiyo, vilevile utaunganisha kwenye kundi letu la 'Online—Multifarious Knowledge House 04', mahali unapoweza kuuliza maswali yako yote, baada ya kusikiliza audio hizo na kuanza kuitumia App hiyo.
★—$—Rafiki, Ikiwa unahitaji kuzipata audio hizo na App hiyo, ili uwe miongoni mwa watu wanaonufaika na utumiaji wa maarifa na maelekezo haya mazuri— kwanzia leo;
fungua kwa kugusa HAPA ili kuzipata kwa WHATSAPP, ikiwa unatumia WHATSAPP.
★★••° Tunatumia audio za kila kipengele na dokumenti fupi fupi sana, kwa wepesi wa kukusaidia kuelewa haraka mno (ndani ya siku chache).
KARIBU SANA, TUNAKUPENDA.
0743517138.
0657178911.
EMMANUEL KIMANISHA.
emmanuellibraries@gmail.com https://eol777.blogspot.com
Hapa chini ni mifano kadhaa ya Graphics ambazo nilizitengeneza kwa kutumia App hiyo.
Comments
Post a Comment