Skip to main content

BIASHARA NA HUDUMA NINAZOTOA—KWA INTANETI.




Rafiki, napenda kutumia nafasi hii tena kukukaribisha kwenye mambo manne mazuri:

1. Kutengenezewa kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021 kwa bei nafuu sanà (Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa]). 

—Kalenda hii itakuwa na picha zako.
—Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo.
—Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida.
—Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana.
—Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha.
—Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
2. Ninashirikisha maarifa rahisi ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za matangazo ya biashara, kalenda nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio mbalimbali n.k—kwa kutumia App inayofanya kazi vizuri kwenye simujanja (Smartphone)—na kuziuza kwa watu wengi sana wanaozihitaji mtandaoni [hasa kwa wasapu].
Mpangilio wa programu hii, upo HAPA.
Pia unaweza kuomba kuiangalia dokumenti yetu ya utangulizi: inapatikana kwa wasapu bure—kwa kuja HAPA inbox kwangu moja kwa moja. Ili upate ufafanuzi mzuri pia kabla ya kuanza kujifunza.

—Mafunzo yanapatikana kwa bei ya Tshs 4500 tu. 
—Katika kukuelekeza unapata kitabu [kwa whatsapp] chenye maelekezo yoteaudio za kila kipengele na kukuunganisha kwenye moja ya vikundi vyetu vya whatsapp (Multifarious Knowledge House 04) kwa ajili ya kujibiwa maswali yako moja kwa moja.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
3. Ninakusaidia pia kutengeneza picha zako nzuri za matangazo ya biashara, picha za logo na utambulisho [za Whatsapp, blogu, youtube, instagram], matangazo ya matukio, business cards, makava ya vitabu na nyingine nyingi—kwa bei nafuu sana (Tsh 3500 hadi 15000).
Mifano kadhaa ya zile nilizotengeneza ipo HAPA. Pia unaweza kuomba kuziangalia nyingine kwa kuja inbox kwangu moja kwa moja—kwa kuingia HAPA.

—Zikitengenezwa zinakufikia kwa Whatsapp au baruapepe, katika fomati za picha au PDF ikiwa unataka kuzichapa—huko uliko. 
—Utazipenda na kuzifurahia sana.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
4. Na jambo la mwisho hapa ni Programu yetu nzuri mno; ya kuunganishwa na watu wengi sana waliopo Whatsapp. Ni programu yenye uvumbuzi unaowasaidia watu wengi wanaohitaji kuwafikia watu wengi sana; ndani ya muda mfupi—kupitia Whatsapp. Hasa hasa katika kuongeza upatikanaji wa wateja wako wengi na wa uhakika kupitia Whatsapp.
Programu ipo HAPA [EOG WHATSAPP CONTACTS COLLECTION]

KUMBUKA: WhatsApp ina mamilioni ya watu wanaopatikana. Wateja wengine wazuri ni wale wanaoandaliwa na wewe—kwa mbinu bora inayoendana na taswira ya wasapu—hivi sasa.

—Dokumenti ya utangulizi ni bure inapatikana pia kwa wasapu—inbox kwangu, kwa kuingia HAPA.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—


Namba yetu iliyopo Whatsapp: 0743517138.
Au ikiwa upo hewani sasa hivi na unatumia WHATSAPP, unaweza kuja inbox kwangu moja kwa moja; kwa kugusa kwa kufungua HAPA {CLICK}.


—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
NAHITAJI KUFAHAMIANA NA WEWE PIA KWA NAMNA NZURI NILIYOIANDIKA HAPA [—kwenye maktaba yangu ya mtandaoni, kwa ajili yako wewe uliyefika hapa leo.] 
Nitafurahi sana ukitembelea ili tufahamiane kwa namna hiyo.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••


Uuuu

Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...