Skip to main content

PROGRAMU RAHISI ZENYE MANUFAA MAKUBWA.

★★★★★★★★★★★★★★★

Simujanja (Smartphone) yako inaweza kutumika kuendesha mambo mengi mtandaoni. Yapo mambo mengi yenye faida kubwa. Ukiwa miongoni mwa watu wanaogundua ukweli huu, unaweza kunufaika vizuri sana kupitia Simujanja (Smartphone) yako. 

Kwenye dokumenti yetu mojawapo: 'Mtaji Mwingine Ulionao Hivi Sasa—Kwa Mtaji wa Kifurushi Cha Intaneti na Muda wa Ziada', nilizungumzia kwa uzuri sana; mambo manne ambayo unaweza kunufaika nayo kwa kutumia simujanja (smartphone) yako. Nilieleza namna unavyoweza kutumia kifurushi chako cha intaneti na muda wako wa ziada kufanya mambo kadhaa, mambo ambayo watu wengi hawajayaangalia kwa utulivu ili kugundua manufaa yaliyomo ndani.

Kwenye jukwaa letu: maktaba na shule zetu rahisi za mtandaoni, tunapenda kuwashirikisha watu, namna nzuri sana tunazojaliwa kugundua; jinsi ya kutumia simujanja (smartphone) kuendesha mambo mbalimbali mtandaoni—kwa namna inayofaa kukuingizia sehemu nzuri ya kipato cha ziada bila uhitaji wa maarifa tata. Kuna mambo kadhaa ambayo ukiyafahamu utaweza kuona fursa nyingi mtandaoni, fursa ambazo unaweza kuzifaidi kwa kutumia smartphone yako vizuri; kwa muda wako mzuri wa ziada na kifurushi chako cha intaneti.

Miongoni mwa mambo mazuri utakayojifunza ni:
1. Namna ya kutengeneza/ kufanya ubunifu wa picha za [Graphics]; matangazo ya biashara, matangazo ya matukio, business cards, logo, makava ya vitabu, picha nzuri za utambulisho kwenye mitandao ya kijamii, mabango ya nukuu, kalenda rahisi na nyingine nyingi—kwa kutumia smartphone.[Tsh 7,000].
→Mpangilio wa kujifungua programu hii upo HAPA

2. Namna ya kukusanya na kutunza (save) namba nyingi za wasapu (Whatsapp contacts); pamoja na mbinu nzuri mpya za kawafikia na kuwatambua wateja wa sasa, wa biashara yako na hata kuwaandaa wateja wengine wengi wa uhakika wa siku za usoni. [Tsh 5,500]
→Mpangilio wa kujifungua programu hii upo HAPA

Mafunzo ya programu hizi mbili ndiyo tumeyapa kipaumbele kwa sasa. 

Maarifa mengine yanayopatikana kwa bei za Tsh 3,500 hadi 7,000 ni:
1. Duka Lako Rahisi la Mtandaoni. [Tsh 6,000].
2. Miliki Shule Yako Ndogo na Rahisi—Mtandaoni. [Tsh 4,000]
3. Kuuza Maandishi Yako—Mtandaoni. [Tsh 5,000]
4. Andika Kwa Mkono na Uuzie Mtandaoni. [Tsh 7,000]
5. Andika kwa Ajili ya Wengine—Mtandaoni [Online Typing]. [Tsh 3,500]
6. Wateja Wako Siyo Hao Tu. [Tsh 6,000]
7. Namna ya Kufungua Blogu Yako Rahisi—Mwenyewe.
—Hata kwa Simujanja (Smartphone) tu. [Tsh 3,500]

Mipangilio ya kila programu ziliyotajwa hapo juu ipo HAPA, kwenye blogu mtandaoni.




IKIWA KUNA JAMBO UNAHITAJI KUFAHAMU VIZURI KABLA; NIULIZE KWA WASAPU, HAPA.



POSTI NYINGINE







Comments

Popular posts from this blog

GRAPHICS NZURI—KWA BEI NAFUU.

★—•••—EO Gadgets 77 Designs. Tunakusaidia kutengeneza baadhi ya picha za Graphics za aina mbalimbali na kukutumia huko huko uliko—kwa baruapepe (e-mail) yako au WhatsApp. —$—Kwa bei poa na ya kawaida sana, nitakutengenezea:  Picha za mabango ya kutangazia mtandaoni, logo za blogu, logo za chaneli za Youtube, picha za utambulisho katika mitandao ya kijamii (WhatsApp, Facebook n.k), makava ya project na vitabu/vitini na nyingine nyingi. Bei zetu ni Tsh 5500–35,000 tu. Simu/WhatsApp: 0743517138. Baruapepe: emmanuellibraries@gmail.com IKIWA UNAHITAJI KUTENGENEZEWA MOJA YA ZA GRAPHICS TAJWA HAPO JUU, NITAARIFU KWA NAMBA YA SIMU: 0743517138. AU IKIWA UNATUMIA WHATSAPP WAKATI HUU, NITAARIFU KWA KUJA INBOX KWANGU KWA MOJA KWA MOJA KWA  KUFUNGUA HAPA. HAPA CHINI NI BAADHI YA MIFANO YA GRAPHICS TULIZOZITENGENEZA:  ↓↓↓↓↓↓↓ ↓↓↓↓↓↓↓ Add caption ...

KUANDAA NA KUPATA WATEJA KWA MBINU HIZI.

Namna Nyingine Ya Kuongeza Upatikanaji Wa Wateja Kupitia Whatsapp. —••— Hapa utajifunza njia mpya ya kukusanya na kuhifadhi (save) namba nyingi (za washirika wote)—ndani ya muda mfupi; katika vikundi vya WhatsApp unavyojiunga. —••—Utafahamu namna nzuri nyingine ya kuongeza watazamaji wengi wa status zako. —••—Utafahamu njia nzuri ya ku-foward tangazo/ujumbe wako kwenda namba nyingi ulizohifadhi kwa lebo maalum. —••—Utaweza kuweka mkakati wa kutengeneza uhakika wa wateja wengi tarajiwa wasio na kikomo—kupitia WhatsApp. BEI: TSH 4,500;  kitabu (PDF) pekee. TSH 9,000;   kitabu (PDF) & audio zote. TSH 12,000;  vyote vilivyotajwa hapo juu na kuunganishwa kwenye kikundi cha whatsapp [Maximum Sale Via WhatsApp]. Karibu sana rafiki (0743 517 138). _______________ _______________

OFA YA VITABU VITANO KWA TSH 3,500 (softcopy)

Leo, Chagua Kitabu Unachohitaji Kwa TSH 1,000/-[PDF]. YALIYOMO: (4). 1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. 2. UFAFANUZI NA UTANGULIZI KWA UFUPI KWA KILA KITABU. 3. JINSI YA KUPATA KITABU HUSIKA. 4. MAHALI PA KUELEZA KUHUSU MAENDELEO, CHANGAMOTO AU SWALI LAKO LOLOTE—KUHUSU MAARIFA YALIYOMO. 5. MATANGAZO YETU MENGINE. ____________  1. ORODHA FUPI YA VITABU VITANO (5) [PDF] VILIVYOLETA MATOKEO MAZURI TANGU TULIPOKUWA TUNAANZA. №1. SASA UTAUZA GRAPHICS ZAIDI:  Kupungua kwa changamoto katika kuuza graphics—mtandaoni; WhatsApp imerahisisha. (Kutengeneza graphics kwa smartphone na kuziuza kupitia WhatsApp). №2. SASA INAWEZEKANA KUONGEZA UPATIKANAJI WA WATEJA KUPITIA WHATSAPP:  utumiaji wa lebo maalum ni suluhisho zuri—hivi sasa. №3. UNAVYOWEZA KUUZA MAANDISHI YAKO MTANDAONI:  Uza dokumenti fupi fupi kwa bei ndogo—utauza sana—mtandaoni. №4. KIPATO KWA MAARIFA YA UZOEFU/TAALUMA YAKO—MTANDAONI:  tengeneza na kuuza ...