1. Kutengenezewa kalenda nzuri za miaka ya 2020 na 2021 kwa bei nafuu sanà (Tsh 3500 [bei ya ofa kwa sasa]).
—Kalenda hii itakuwa na picha zako.
—Itakuwa na maneno unayotaka wewe yawepo.
—Unanitumia picha zako kwa Whatsapp (au kwa e-mail) na maneno unayotaka yawepo [-hata kwa ujumbe wa kawaida.
—Kalenda inakamilika ndani ya dakika chache sana.
—Tunaituma kwako katika fomati ya PDF; Ili ionekane vizuri sana inapotolewa kwenye karatasi za glossy au picha.
—Tumeweka bei ndogo ili kukupa nafasi ya kulipia kiasi kingine kidogo huko uliko; unapotaka kutoa kwenye karatasi.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
2. Ninashirikisha maarifa rahisi ya namna ya kutengeneza picha [za graphics] za matangazo ya biashara, kalenda nzuri zenye picha unazotaka mwenyewe, logo, makava ya vitabu, mabango ya nukuu, matangazo ya matukio mbalimbali n.k—kwa kutumia App inayofanya kazi vizuri kwenye simujanja (Smartphone).
—Mafunzo yanapatikana kwa bei ya Tshs 4500 tu.
—Katika kukuelekeza unapata kitabu [kwa whatsapp] chenye maelekezo yote, audio za kila kipengele na kukuunganisha kwenye moja ya vikundi vyetu vya whatsapp (Multifarious Knowledge House 04) kwa ajili ya kujibiwa maswali yako moja kwa moja.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
3. Ninakusaidia pia kutengeneza picha zako nzuri za matangazo ya biashara, picha za logo na utambulisho [za Whatsapp, blogu, youtube, instagram], matangazo ya matukio, business cards, makava ya vitabu na nyingine nyingi—kwa bei nafuu sana (Tsh 3500 hadi 15000).
—Zinakufikia kwa Whatsapp au baruapepe, katika fomati za picha au PDF ikiwa unataka kuzichapa—huko uliko.
—Utazipenda na kuzifurahia sana.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
4. Programu yetu nzuri mno; ya kuunganishwa na watu wengi sana waliopo Whatsapp. Ni programu yenye uvumbuzi unaowasaidia watu wengi wanaohitaji kuwafikia watu wengi sana; ndani ya muda mfupi—kupitia Whatsapp.
Programu ipo HAPA [EOG WHATSAPP CONTACTS COLLECTION]
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
Namba yetu iliyopo Whatsapp: 0743517138.
Au ikiwa upo hewani sasa hivi na unatumia WHATSAPP, unaweza kuja inbox kwangu moja kwa moja; kwa kugusa kwa kufungua HAPA {CLICK}.
—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—•••—
NAHITAJI KUFAHAMIANA NA WEWE PIA KWA NAMNA NZURI NILIYOIANDIKA HAPA [—kwenye maktaba yangu ya mtandaoni, kwa ajili yako wewe uliyefika hapa leo.]
Nitafurahi sana ukitembelea ili tufahamiane kwa namna hiyo.
Good work..
ReplyDeleteThanks
ReplyDeleteWell,
ReplyDeleteEven I do like to share various experience from different people.
So ur welcome
Gud work
ReplyDelete