Skip to main content

KWA KUPITIA INTANETI—POPOTE ULIPO.

Furahia kufikiwa kwa kupitia mtandao wa intaneti—ukiwa popote ulipo.


Rafiki yangu, habari ya uzima wako.
Naitwa EMMANUEL Kimanisha, nipo Dodoma.

Bado nipo kukuhudumia kwa kupitia intaneti, popote ulipo.
Kazi zangu huwafikia watu kwa e-mail au Whatsapp—katika fomati za kielektroniki (softcopy).


  • Utasaidiwa kutengeneza picha nzuri za Graphics.
  • Utasaidiwa kuandika kazi zako za maandishi (documents).
  • Utapata idadi yoyote ya namba za Whatsapp unazohitaji kutangaza na kushirikisha biashara yako kwa kupitia Whatsapp.
  • Utaelekezwa namna ya kusevu namba nyingi za wasapu na 
  • Utafundishwa namna ya kutengeneza/kubuni picha nzuri za graphics— kwa App nzuri inayofanya kazi vizuri hata kwenye Smartphone yako.

Bado nipo kukuhudumia kwa kupitia intaneti, popote ulipo. Kazi zangu ni nzuri sana na huwafikia wateja wangu popote walipo; kwa e-mail au Whatsapp—katika fomati za kielektroniki (softcopy).

Ninakuhudumia kwenye mambo yafuatayo:

1. Nina-dizaini [GRAPHICS] picha za matangazo, mabango ya nukuu, makava ya vitabu, business card, picha za utambulisho Whatsapp, logo n.k 
[TSH 3500 hadi 15000].

2. Nakusaidia kuandika kazi zako za maandishi (documents) kwa Transcriptional Typing 
[Tsh 350/p]

3. Ninakusaidia kusevu namba nyingi sana za watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka 
[Tsh 30/c]; kwa kupitia EO Gadgets 77.

4. Ninatoa [Programu ya maarifa] maelekezo ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja wako wa uhakika—miongoni mwa mamilioni ya watu waliopo Whatsapp. 
[Tsh 5500/mafunzo]

5. [Programu ya maarifa] maelekezo ya namna ya kutengeneza (ku-dizaini) picha za graphics—kwa kutumia App nzuri sana inayofanya kazi vizuri hata kwenye Smartphone 
[Tsh 4500].

ILI KUPATA MAARIFA HAYA AU MOJA YA HUDUMA HIZI MTANDAONI; KWA MAELEKEZO NA MAELEZO MAZURI, UNAWEZA KUFUNGUA HAPA CHINI.

1. Kutengenezewa Picha za GRAPHICS kwa bei nafuu sanà, FUNGUA HAPA.
2. Kusaidiwa kuandika kazi zako za maandishi (documents), FUNGUA HAPA.
3. Kusaidiwa kusevu namba nyingi za watumiaji wa Whatsapp—kwa haraka—kupitia EO Gadgets 77, FUNGUA HAPA.
4. [Programu ya maarifa] maelekezo ya kuongeza ufanisi wa upatikanaji wa wateja—kupitia WhatsApp, FUNGUA HAPA.
5. Maelekezo ya namna ya kutengeneza (ku-dizaini) picha za graphics—kwa kutumia smartphone, FUNGUA HAPA.











































Comments

Popular posts from this blog

240 WHATSAPP GROUPS' LINKS (Business and Social)—Tanzania.

Tumekukusanyia [links] viunganishi vya vikundi vya WhatsApp zaidi ya 240, vya kibiashara na mambo ya kijamii, vya nchini Tanzania. Utawafikia watu wengi (zaidi ya 43,200) waliopo WhatsApp , kwa urahisi—ndani ya muda mfupi. Ili wafahamishwe kuhusu uwepo wa huduma au biashara yako. Hapa nitakuonyesha orodha ya vikundi 244 vya WhatsApp , ambavyo links zake zipo kwenye dokumenti ya PDF tuliyoiandaa. Tumetengeneza dokumenti ya PDF, ambayo kila jina la kikundi lina link chini yake; ili uweze ku-join kupitia dokumenti ya PDF. Dokumenti inapatikana kwa  TSH 1,500.  Namba yetu ya malipo ni 0743517138—EMMANUEL KIMANISHA. Vikundi vya WhatsApp vilivyomo ni: 1) MADALALI NA WAPANGAJI 2) TAARIFA MUHIMU ZA JAMII 3) DAR FAST DEALS 4) AGIZA NASI CHINA 03 5) BEI NDOGO IRINGA & DAR ES SALAAM 6) THE CITY OF BUSINESS 7) MAPINDUZI UFUGAJI 8) CHAMPION INVESTMENT 9) TEAM CALVO TRIPLE EARN 10) FINANCIO INVESTMENT 11) CHINA SHARE MOQ 12) MUCE, RUCU & TUMAINI (MRT) 13) MAPISHI 14) MARKETING IRING...

EO Gadgets Images

K NEW AND EDITED T

KALENDA NZURI [2021] YENYE PICHA ZAKO.

Ofa nzuri ya muda mfupi; n dani ya siku chache. Baada ya kuona watu wengi wanahitaji kalenda lakini wapo mbali, nimeamua kutoa ofa ya muda mfupi; uweze kupata 'softcopy' (PDF & Picha original ya jpg) ya kalenda yako  ya mwaka 2021 [yenye picha zako] kwa Tsh 2,000 badala ya Tsh 4,500. Tuma tu picha zako hata sasa, unazotaka ziwepo kwenye kalenda; ndani ya dakika chache kalenda itakuwa tayari na kuipata leo leo —kwa wasapu/e-mail. 🗞️📜📲 Bei hii inakupa nafasi nzuri ya kui-print ukiwa mahali popote wanapo-print picha au dokumenti za rangi (stationery/studio ya picha); ni rahisi sana. Ukifika mahali popote wanapofanya hivyo (printing) (stationery au photo studio) unawapatia namba zetu ili kuweka mambo vizuri zaidi —wakati wa 'printing' ya kalenda yako. Tupo na wewe popote. Tupo hewani sasa hivi kwa Whatsapp na mawasiliano ya kawaida. WhatsApp: +255 743 517 138 /call. Ikiwa unatumia wasapu sasa hivi (online); Ingia HAPA [CLICK HERE] kwa ajili ya ...